Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wadau naskia matokeo y apeal(heslb) yametok n kwel!? Km yakitok watayawek wp!?
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Mimi binafsi sirizishwi na hatua ya serikali sikivu ya CCM kuwakalisha kitaa wahitimu wa vyuo vya ualimu more than 7 months bila sababu za msingi. Hii inaweza kuwaathiri kisaikolojia, kiuchumi na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana JF, Kampuni yetu inajishughulisha na uuzaji wa vitabu vya kielektroniki (ebooks) kwa bei nafuu 10,000/= TO 20,000/=. Tuna vitabu vya aina mbalimbali kwenye 'fields' tofauti kama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wizara hata ingeandikaga hivo ingekuwa bora, but kila nikichek MOE nakuta news zilezile za mwaka jana had nalose hop waungwana tetesi za mitaani nazo magumashi lol!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu mzee wa division five(mulugo) hatimaye kang'oka rasmi kwenye baraza jipya la mawazir lililotangazwa na katibu mkuu kiongoz ikulu muda mfup uliopita. Pongezi kwake mkuu wa nchi kwa usikivu!!!
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Jamani wana janvi shahada tajwa hapo juu inaweza ikaruhusiwa kuchukua masters zipi? Somo la kufundishia ni Geography.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari WanaJF, the home of great thinkers, kwa kutambua uwepo wa jukwaa hili lenye member makini na wenye uwezo wa kudadavua mambo mbalimbali napenda kuwaletea changamoto zinazowapata wanafunzi wa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
kwa waalamu wa lugha ya kiingereza ni vitabu gani vizuri vinavyoendana na sylabus mpya hii kati ya LONGMAN; OXFORD; NA UJUZI? PIA vitubu vya GRAMMER KWA O,LEVEL
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Do you want to study abroad in USA on Scholarship? A number of USA universities and organisations offer undergraduate, Masters or PhD scholarships in USA for developing countries Students. Full...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Tafadhali kichwa cha habari hapo juu chajieleza, swali hilo nimejaribu hata kugoogle kwa heading tofauti tofauyi lakini sipati kile ninachokihitaji. Nimeamua kulileta kwa great thinkers kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hiki chuo kina hyo kozi wan jf? Km kinahyo kozi ada yao inakuaje? Ahsanten mungu awabariki
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hellow j.f members, help me 5 differences between text and speech? with reference from book or other source of information.please anyone to help me
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Uwepo Wa shule za sekondari za Kata ni kiashilio cha kukua kwa sekta ya elimu, wasiwasi wangu elimu inayotolewa kweli inamuandaa kijana huyu kukabiliana na mazingira ya kielimu kwa miaka kumi ijayo?
0 Reactions
1 Replies
985 Views
Habari ya leo wana jf, hatimaye serikali imetoa kauli kua waliofeli mtihani wa kidato cha pili mwaka jana ruksa kuendelea na kidato cha tatu. CHANZO CHA HABARI GAZETI LA MAJIRA. Hii imekaaje...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Serikali imeruhusu wanafunzi waliofeli mtihani wa kidato cha pili kuendelea na kidato cha tatu. Hii mnaionaje wadau?hivi elimu yetu inaelekea wapi? serikari inataka kumfurahisha nani? au ndio...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JamiiForums.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job from home
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwl Kutoka Mbeya Jiji Au Rungwe Aje Korojwe Mji.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naomba msaada kwa anaejua chuo binafsi cha afya kinachotoa kozi za nursing au clinical officer.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Welcome. The big result now has nothing to do with hardworking people.
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…