Helo! Is you have knowledge on uses, types of tenses and its parts since you studied in standard six at primary school? Let us talk on it by answering these questions; 1.What is tenses? 2.Mention...
mizimu ya mkwawa iliwapanda wanafunzi wa mkwawa university baada ya kuchelewa kutupia boom! na kuamua kuweka tanganzo la kuweka maandamano ya kudai boom! lkn faster wakaliachia mambo poa kwa sasa!
"DUE TO ONGOING SCIENCE AND TECHNOLOGY, (ADVANCEMENT IN SCIENCE AND TECHNOLOGY), THEORIES OF LEARNING ARE USELESS IN CLASSES". HOW FAR IS THIS STATEMENT CORRECT?
Nimejaribu kufikiria sana...
2012 udsm ilitimiza miaka hamsini kama university lakini cha kusikitisha ni kwamba mazingira ya ku acquire elimu ni magumu sana yaliyojaa changamoto,
1. mic kwenye lecture rooms ni mbovu, zina...
habari wana JF
Hali za ajira, promoshen na utofauti wa mishahara ni majanga katika vyuo vya ualimu.....
Mtu ameanza kazi mwaka jana anamzidi mshahara mfanyakazi wa miaka 10 iliyopita!!
Back...
UDSM wale wa mature age entry wanapatikanaje? Nina miaka.42, credit.6 O.level na cheti cha journalism, naweza kusoma law? Pia nina dipl. niliyoipata London School of Journalism through distance...
​Naomba msaada kwa wasomi wa finance mimi nasoma business administration kuna option imekuja ya kuchagua course na nimechagua finance as a major course na minor course nimepewa option mbili...
Za leooo WADAU WA JF
Kwa uzoefu na ufahamu wenu naomba mnisaidie kuniambia ,kuelezea au kunitajia vyuo ama chuo kikuu mashuhuri na kizuri kinachotambulika na serikali ya TZ na dunia nzima kwa...
Ndugu! wadau nahitaji vitabu (study material) ya FR & IF kwa maandalizi ya Mitihani ya NBAA May 2014.
kwa yeyoyete anaefahamu ntapataje tafadhali nijulishe.
Hahari za kuaminika kutoka vyuo tajwa hapo juu,vijana wamechoshwa na ukata unaowakumba toka wameanza mwaka mpya wa masomo,vjana hawa wamekuwa wakitaka kujua hyo loanboard maana yake nn kwani...
Ndugu wadau naskia kuna vikao vinaendelea NBAA kuangalia uwezekano wa kutokwepo Module E mwezi May 2014..Hii ni ili kupisha wale wenye vimeo vyao wapate ku clear na kuwaanda watu na new syllabus...
Wadau naomba msaada kwa mwenye softcopy au hardcopy za madesa ya teaching methods of economics and business au mwenye kitabu hiki (Kerich, W. (1990). Educational Communication and Technology...
Jamani inawezekana si mimi peke yangu ambae hatufahamu juu ya historia ya mti wa x-mass na mapambo yake!
Kama wewe unaufahamu mzuri naomba niweke sawa.
Nakama ukiongezea elimu ya ile sikukuu ya...
Kwa wengi mnajua maana ya neno DESHI.Ikimaanisha kwa Hapa chuo mtu anakua hapati milo mitatu kwa siku.Hali hii Imeonekana kwa mimi kuongea na mama muuza mmoja akasema wateja wengi wanakula...