Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wanajamvi naomba kwa mwenye taarifa anijulishe ni lini UDOM watatangaza nafasi za kazi kwa upande wa teaching staff? ninashauku sana ya kulitumikia taifa langu katika kazi hii
0 Reactions
8 Replies
2K Views
hellow wadau wa JF......je ni vyuo gani vinatoa course ya hair and beauty kwa hapa dar es salaam?..........
0 Reactions
0 Replies
857 Views
Ndugu wadau napenda kufahamu,,Ualimu wa chekechea ngazi ya certficate Una field ngapi kwa mwaka!! asanteni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
NBAA revised syllabus
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Jaman naomba kuuliza bei ya ada ya chuo cha TEKU,
0 Reactions
4 Replies
5K Views
jamani wizara wameyaweka lakin mbona hayafunguki-au kwangu tu.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Groups are smarter with women, MIT research shows By Adrienne Burke | Profit Minded – Wed, Nov 27, 2013 4:40 PM EST Email 55 Print If you want to create a team...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu,mim ni mwalimu wa sekondari,nafundisha masomo ya sayansi,naomba mnisaidie niweze kuhama toka Wilaya ya Rombo kwenda Wilaya ya Hai--kilimanjaro ambapo familia yangu ipo...nimehangaika...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
habari jamani....nilikuwa naomba msaada wa kujua ada ya St.Matthew secondary kwa mwaka ni kiasi gani...??? Nataka nimpeleke Mdogo wangu pale.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa wale tuliosoma Galanos A level miaka tajwa hapo juu, naomba mwenye taarifa za watu wafuatao wani pm na ikiwezekana nipate contacts zao Shumbi Jackson, alikuwa Prefect mpole sana. Alimaliza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SEMINA YA UJASIRIAMALI KWA WAKAZI WA MWANZA Napenda kuwafahamisha kwamba CPM Business Consultants, yenye makao makuu jijini Dar es salaam, ikishirikiana na Tuwafikie Tanzania tawi la Mwanza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Qn. discuss the mechanism of hearing
1 Reactions
3 Replies
1K Views
nina ndoto ya kusoma hyo course xo nahitaj mtu anayejua application ya hiyo kozi i.e atafnya kazi katika sekta zipi.ni hayo tu wakuu mchna mwema
0 Reactions
3 Replies
973 Views
Mwenye kufahamu hili suala anijuze wakuu.
0 Reactions
0 Replies
808 Views
Wadau nlikuwa napenda kujua hv upangaji wa majina kwa ajiri ya post za waalmu ulfanyika? na je wanao husika na upangaji wa ni TAMISEMI au wizara
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ndugu zanguni, hizi masters na PhD za SUA kwa kweli inakuwa ni mateso kwa wasomaji yaan course duration mfano kwa masters degree ni miaka miwili lakin imekuwa ni suala la kawaida kwa mtu kutumia...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
kwa wale wanaotaka kupunguziwa picha kwa ajiri ya usajiri wa necta form four, kwa vipimo vya necta kwa bei chee wanitafute kwa kuni PM au kwa e mail info@shuleni.org
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nime jaribu kuchek kwenye website yao sijafanikiwa kuipata,kama kuna chuo kingine kinachotoa hiyo kozi naomba mnijuze pia.
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Kwanza napenda kuwapa pole wale wote mliochaguliwa 4th round kwenda vyuo ,hii ni kutokana na TCU Kuwapangia tarehe ya kuripoti vyuoni wakati registration deadline imepita,hivyo kuwapotezea mda wa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
habari ndugu...natafta project...kwa ajili ya form six......mwenye nayo anisaidie au kam anauza aweke bei
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…