MDOGO WANGU ANA MATOKEO YAFUATAYO KWA MATOKEO YA STD 7
KISWAHILI-A
ENGLISH-B
MAARIFA-B
SAYANSI-A
HISABATI-A
GRADE A
yupo KIGOMA ni msichana,anawezapelekwa wapi mdogo wangu.
Mwaka jana TCU walinitupa kwenye kozi ambayo sikuichagua bachor ya IT chuo I.F.M,kweli sikuipenda na nimeamua kwenda kusoma Clinical medicine...Sasa kuna watu wananiponda eti nimekimbia mshahara...
Wakuu,
Leo tuangalie upande wa shule za Msingi, matokeo kutupa picha ya mwelekeo wa elimu kama unazidi kudorola ama kuna matumaini ya kunyooka.
Soma Pia matokeo mengine kuanzia mwaka 2008...
Habari wakuu! Kuna mtoto wa rafiki yangu anataka kusoma kozi tajwa kwa level ya certificate au diploma kwa hiyo nauliza kuhusu vigezo vya kusomea taaluma niliyoitaja hapo juu, na chuo gani binafsi...
Heshima mbele wakuu..Kwa wadau wa Loyola High School ( Dsm ) naomba mnijulishe kuhusu taratibu za kujiunga kidato cha kwanza katika shule hii. WITH MUCH APPRECIATION.
Mheshimiwa Rais na Wabunge Wetu,
Tunaomba kuanzia mwaka ujao wa fedha 2014/2015 Serikali iongeze kiwango cha Ruzuku kwa kila mwanafunzi wa shule za Msingi na za Sekondari za umma kwa ajili ya...
Akiongea katika kipindi cha jambo leo asubuhi kupitia TBC 1 naibu waziri wa Elimu Bw. Philipo Mulugo amesema serikali imefuta div. 5 baadala yake itaendelea kuitwa div 0 kama ilivyokuwa inaitwa...
Matokeo makubwa sasa nchini yanawezekana hutaki hama nchi
A=75-100
B+=60-74
C=40-49
D=30-39
E=20-29
F=0-19
Division
1=7-17
2=18-24
3=25-31
4=32-47
5=48-49
hapo nani ashindwe na nani kasema...
Habar wa dau wote, kama mada inavyojielezea hapo juu je mtu anaweza kuchukua degree kama cheti chake cha form four kina pointi 30 kwa maana kwamba alisoma certificate baadae akasoma diploma, je...
Wadau naombeni msaada wa kujua jinsi ya kuendesha Nursery School na taratibu za kuisajili kama kuna mtu anamchanganuo wa gharama zote hadi uanzishaji na mbinu mbalimbali za kukamata wanafunzi.
Tafadhalini naomba kujuzwa mambo muhimu ya kufanya ktk kutekeleza uhamisho wa mwalimu(yaani ni vitu gan anapaswa kuwa navyo na vitu gan vya kufanya mf.barua ktk kudai ruhusa ya kuhama bila...
Nopo ktk gari sasahivi nawaona akina mama wawili wamevaa nadhifu utadhani ni wasomi wakubwa na pia ni eafanya kazi ktk ofisi kubwa kabisa kumbe waapi.
Tatizo:mmoja anamwambia mwenzie kua meanae...
taarifa kwa wale ambao hamkufanya application mnapewa nafasi ya kufanya maombi kabla ya tarehe 06 november tatizo kubwa hapa hawajaweka taarifa hii ila ingia OLAS click watakuletea how to apply...
Jamani mtoto wangu kapata nafasi chuo cha ukutubi bagamoyo naombeni mwenye kukifahamu na kuyajua mazingira anijulishe,pia nimeona kama hela ni kubwa,anataka kusoma certificate.
Ikiwa takribani miezi 10 imepita baada ya wizara ya viwanda na biashara kufuta udhamini wa wanafunzi wa vipimo cbe waliokuwa wanawadhamini.Na kuambiwa waombe bodi ya mikopo,wote wamekosa...na...