Sijui hili taifa linaelekea wapi.. Kila kitu
kinaendeshwa kisiasa!. Basi hadi elimu jamani??
Wakubwa katika wizara husika nahisi
hawawajibiki kivitendo hasa katika kuiboresha
elemu ila wapo...
Huu utaratibu wa kutoa matokeo kwa uwazi ni mzuri sana. Kwa ujumla matokeo si mazuri, nadhani kuna umuhimu kwa wadau wote kukaa kuangalia tufanyeje ili kuhakikisha wanafunzi wanaelewa wanayofundishwa.
Ndugu wana jukwaa........!
Awali ya yote nipende kumshukru mungu kwa kuni kutanisha na watanzania wenzangu mda na wakati kama huu..... hapa chuoni ninapo soma kuna coz moja tu ya EDUCATION mimi...
kesho sa saba mchana hadi sa kumi na moja wana mzumbe,sua ,mum,jordan na vyuo vyote vilivyoko morogoro mnakaribishwa kwenye jukwaa kubwa la uchumi litakalofanyika chuoni mzumbe.hivyo mnaombwa...
Ni baada ya Prof. Hamisi Dihenga kustaafu ndio huyu bwana, Prof. Mchome kashka usukani, katibu mkuu wa wizara ya elimu.....
Nipatiene CV yake nna waswas na maamuz yake.... Labda hafai kuwa...
KWA WALE WALIOSOMA LAW SCHOOL WAANGALIE MATOKEO YAO YAMETOKA LEO
The Law School Of Tanzania
Exam Results
(8TH COHORT RESULTS FEBRUARY, 2012), (1st,2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th & 7th COHORT SUPP...
Nipo hapa mtaa wa Ilboru sec school na naona wanafunzi wanatoka na mabegi na naona kuna magari matatu ya polisi na wamejiandaa kwa lolote lile. Ngoja niifuatilie na nitarudi hapa hapa kwa maelezo...
habar jf, naomba kujuzwa na hili. Wale tulioambiwa wakarudie kutuma maombi ya mkopo, mbona nikifungua hilo web yao haifunguki. Nimejaribu zaidi ya mara 5 kwa siku tano. Nini hasa tatzo
Ina maana gani kuweka ufauru form four hadi DIVISION FIVE?! kweli kama viongoz wana busara basi wakachunguzwe upya kwa vipimo maalum kuona kama kuna ambao wamewah kutumia viharibu akili!! WENGINE...
Kupitia tovuti ya wizara ya afya na ustawi wa jamii kwa taarifa muhimu za kujiunga na chuo ambazo zilitakiwa zitumwe kwenye masanduku yenu lakini utaratibu ukabadilishwa!!
Taarifa hizi...
Nichukue nafasi hii kuipongeza wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi pamoja na serikali kwa ujumla kwa jitihada kubwa za kujaribu kufanya kila liwezekanalo ili kila mtanzania aipate elimu,pamoja...
Ndugu wana JF wakati huu ambapo jamii ya watanzania wameduaa wasijue cha kufanya baada ya mshtuko wa kufeli kwa wanafunzi wa kidato cha nne mwaka jana ambapo hata jawabu la tatizo hilo bado...
Habari wakuu...nilimaliza kidato cha nne miaka kadhaa iliyopita..matokeo yangu yalikuwa mabovu sana...nikageukia upande wa pili..nikaamua kukimbizana na hela..nimefanya kazi kibao(kutembeza...
ALAMA ZITAKUWA KAMA
IFUATAVYO
A ni 75 hadi 100; huu ni
ufaulu uliojipambanua
B+ ni 60 hadi 74; huu ni
ufaulu bora sana
B ni 50 hadi 59; huu ni
ufaulu mzuri sana
C ni 40 hadi 49; huu ni...