Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naomba mnisaidie nataka kubadili kozi kutoka aquaculture kwenda microbiology and biotechnology
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu naomba mnijuze habari ya hostel zipo au ndo majanga.
1 Reactions
14 Replies
3K Views
All Alumni, Staff, Students, Friends and Well Wishers of the University of Dar es Salaam are urged to participate in the 2013 Rotary Dar Marathon on Nyerere Day, Monday, 14 October. The events...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi nchi hii ina mengi sana ya kutafakari kiujumla na kwa kumwangalia mtu mmoja mmoja. Bila shaka kila mtu hapa mwenye umri usiozidi miaka thelethini anamjua vizuri Nyambari Nyangwine na...
3 Reactions
47 Replies
6K Views
Wanajamvi nmefanya upelelezi kuhusu hizi kozi mbili lakini sikuridhishwa nazo kama kuna anayezifahamu vizuri na kwa undani naomba anielezee kwa kuwa nimechaguliwa Udom Bcom in Management...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanajamii naombeni kuuliza eti mwalimu aliyesoma diploma ya ualim akienda kusoma degree wanaangalia vigezo gni pia anaruhusiwa kusoma course gni na gni msaada wenu jamani naomba mwanga
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau,wakati watoto kibao wa maskin wakiwa wamekosa mkopo mwaka huu,kuna rafiki yangu ambae ni mtoto wa kiöngozi mkubwa tu ktk serikali ya jk ambae alidisco chuo flan mwaka jana,lakin cha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba kujulishwa mishahara ya kuanzia serikalini kwa wenye diploma au vyeti. Je kuna posho ya nyumba na usafiri? Maana Dar...
0 Reactions
16 Replies
11K Views
mkurugenzi wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu na vodacom wamesema sasa mikopo itaanza kurejeshwa kwa njia ya m-pesa Source vodacom facebook fans page
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nilimaliza chuo miaka kadhaa iliyopita na sasa ni mhadhiri chuo kimoja hapa TZ. Ukweli ni kwamba GPA nzuri (ambayo sasa mi naiita mbaya!) ndio iliyonifanya nishawishiwe na kushawishika kubaki hapo...
5 Reactions
113 Replies
12K Views
Nimepata mkopo lakini nataka kubadili course nikiifika chuo je huo mkopo wangu utaendelea kuwepo au utaondolewa? Msaada tafadhari kwa mwenye ujuzi wa mambo haya anitaarifu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
ndugu wana jf kwa yeyote mwenye ppt ya research report kwa level ya post graduate hasa (japo undergraduates sio mbaya) naomba anisaidie nashida sana
0 Reactions
0 Replies
812 Views
elimu ya bongo inaelekea wap???
0 Reactions
1 Replies
999 Views
wakuu naomben msaada kujua main contents in procurement contract.
0 Reactions
0 Replies
791 Views
Ndugu wadau katika maisha ya kufanikiwa daima lazima uwe makini na unayejielewa, ila katika hali isiyoya kawaida serikali imekurupuka na BIG RESULT NOW pesipokuangalia watendaji wakuu wa sekta...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NDUGU MWALIMU,LUSHOTO ni wilaya yenye kila kitu,hali ya hewa safi kabisa,biashara,kilimo,utalii,burudani na starehe,ardhi yenye rutuba inayofaa kwa kilimo na ujenzi wa nyumba za kisasa,maji yanayo...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Jaman naomba mnijuze ajira mpya za walimu ni ln
0 Reactions
1 Replies
750 Views
nilichogundua applicant waliofanya mitihani zamani eg 2002,2004,2006,2003 bodi imewanyima mikopo maana kila anaetoa namba yake hapa inaonyesha amekosa,..poleni mungu atafungua milango mengine
0 Reactions
61 Replies
7K Views
MUHIMU SOMA Wizara ya mikopo SAUTSO inawafahamisha wanufaika wote wa MKOPO kuanzia mwaka wa 2,3 na 4 kwamba kesho 7/10/03 kuanzia saa3:30 kufika maeneo ya ATM chuoni hapa wakiwa na ATM card...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…