Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Guys mimi ni kijana ninaetaraji kumaliza chuo mwezi wa 11 katika fani ya electrical installation level 2,Sasa kuna barua tumepewa chuoni za volunteer,Msaada ninauomba hapa either mnitajie kampuni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, ni kweli Maktech ile kampuni ya telecom wafanyakaz wanalipwa mishahara na posho nzuri? Kama nikweli wanalipwa kiasi gani?
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Mmenipeleka jkt wenyewe bila mimi kupenda na kunifundisha matumiz ya silaha zote...mmeninyima mkopo japokua vigezo vya kupewa mkopo nlkua navyo..plus na umasikini nlokuanao...kiukweli kwa hacra...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari zenu. Nimechaguliwa Mechanical Engineering udsm ila mkopo nimenyimwa,so naomba kujuzwa ukitaka kuahirisha mwaka utaratibu ukoje? na kama unajiripia fdh zote kwa mwaka ni tsh ngapi. Na wapi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu nisaidieni kwenye hili jambo,ni lazima niwe na pc nitakapoanza masomo chuoni?
0 Reactions
81 Replies
11K Views
Naomba wadau ufafanuzi juu ya kozi ya aquaculture na soko la ajira asanteni
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ol thy bect on ur exam
0 Reactions
3 Replies
1K Views
HIVI WAKUU SISI MWAKA WA KWANZA TUNATAKIWA TUANZE KUFUNGUA AKAUNTI YA CRDB KWAAJILI YA MKOPO KABLA HATUJAENDA CHUO AU TUTAFUNGULIA HUKOHUKO VYUONI?:A S-key:
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Kati ya cozi tajwa hapo juu ni ipi unadhani inalipa zaidi ukiwa tanzania?kama vipi 2pia na salary yake kama unaijua ili kuwapa mzuka madogo zetu wasome sana [updated-boy]
0 Reactions
49 Replies
4K Views
wakuu... habari zenyu? ningependa kujua hasa kwa kina juu ya hawa ma member wenzetu.. oil sumu na mpigamsuli je ni watoto wa kike au vipi? kwa kweli nimekuwa sointerested sana na story zao...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Wale wanaosafiri siku ya alhamisi kuwai hostel Mzumbe (Mbeya) tuonane hapa.
0 Reactions
0 Replies
895 Views
Hv jaman ngamia ni mnyama au samak mkubwa
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana Jamvi, Mie natatizika sana na elimu yetu hii ya Tanzania sidhani kama kweli ipo katika mustakabali wa kumuokoa mtoto / kijana wa Kitanzania kutoka katika ujinga. Panaponitatiza ni hapa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
kwa anayejua ada ya st Joseph university ya dsm kwa course ya bachelor of education with computer science naomba aniambie!!!! ahsante
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Heshima kwenu wana jf! husika na kichwa cha hbr, katika mizunguko yangu leo mchana nilikwenda na rafiki yangu shule ya st marys iliyopo eneo la mbezi beach DAR, na dhumuni la kwenda kule lilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kesho ndio 4m 2 wananza necta ya kwanza ktk maisha yao ya secondary je ww unawashauri nn?
0 Reactions
13 Replies
1K Views
kama kuna m2 wa LGM mzumbe 2fahamiane kidogo. 0713413693 jackson
0 Reactions
2 Replies
780 Views
Mi nadhani hatuna malengo mazuri kwa taifa hili, walianza na kuwabeba wanawake, wakawekewa vigezo vya chini, mara wakawekewa viti maalum, mwisho wakasema wapewe uspika na wakapewa. Hawakuishia...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
habar. Naomba kujuzwa kuhusu fee ya medical inalipwaje mana zipo mbil, ntajuaje mi nilipe ipi kati ya tsh 30000 na tsh 75000. Na sifa zao za ulipaji,pia hostel fee naweza nikalipa nusu au ni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
NI HIVI KUHUSU MALIPO. Jinsi gani ya kulipia hela kule kwa sababu hawajatoa ufafanuzi, hivyo zote unalipia kwenye bank slip moja au unatenganisha? Ile pesa ya loan meals and accmodation inahusisha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…