Habari Wadau.
Leo nimekuja kusisitiza jambo moja tu kwa wanachuo nalo ni kusoma kwa bidii na kuweka nia ya kupata first class coz najua ukilenga first class, upper second utaipata kwa bahati...
Watanzania Wenzangu,
Naomba tuanzishe utaratibu wa kuzitembelea mara kwa mara shule za msingi za umma ambazo ziko jirani na maeneo tunayoishi. Lengo kuu liwe ni kujenga uhusiano na ushirikiano wa...
Wadau naomba mnijuze. Niliichagua MUST kwa lengo la Electrical & Electronics Engineering. Lakini cha ajabu kuna link zao wenyewe wanaiandika kama Electrical Engineering tu. Swali nikihitimu...
Kwanini yai la kuku liwe juu kuliko mayai ya ndege wengine? Je yai la bata,kanga,buni hayana vitameni sawa na la kuku? Naombeni majibu wataalmu wa vyakula
Waliochaguliwa Bachelor of Science in Computer and Information Management (TUMAINI UNIVERSITY MAKUMIRA[TUMA]), admission letter mnazipataje kwa sababu kwenye website yao hawajaweka link ya BSCIM.
habari zenu wanajamvi. Jamani heslb ni tatizo kubwa kwangu. Wameniandikia sifai kupewa mkopo kwa sababu nimemaliza form six zamani 2009. Sasa hiyo fedha ya kujisomesha sina,inamaana habari ya chuo...
Jaman wana Jf mi pia ni muhanga wa waliokosa mkopo, nimechaguliwa udsm ba in aquatic envnromental science and conservation, mzee wangu ni mstaafu hana uwezo wa kunilipia ada, naomben mnisaidie ni...
Natumaini wanajukwaa muwazima tena ni Jambo la kumshukuru Mungu.
Ninae ndugu yangu alifanya mtihani wa Qualifying Test (QT) wa kidato cha Pili na alifaulu vizuri ilikuwa mwaka 2011, anahtaji...
Mimi naona wote wanamakosa, hivi TCU hawakuona kwamba JKT wamesema AWAMU YA 3 ni mwezi huu wa 9? na je JKT hawakuona na tena walitangaza hadi walitangaza mpaka redioni vyuo vinafungua na waziri...
Karibun sana wadogo zetu mnaokuja pale...japo wengi wanakitambua ka chuo cha wauza sura au institute of fashion & modeling(hii ilikua zamani kuna kupga msulii balaaa..maana ukifell core subject...
Ambao hawajafanya booking ya vyumba at least nina Idea though mi mwenyewe sijapata.....
Mwenye info zozote kuhusu hostel nzuri plz help me pia..!0753377881