When it comes to high paying jobs, you
might immediately think of people who are
in the glitz and glamour of show business
and sports. However, it was found that
these people are not...
Ebana kwa mimi wa DIT na wale wenzangu wa chuo cha maji mkopo umetoka na tumebahatika kupata mikopo 80% ila kuna wengine naona mambo yao hayajakaa fresh bado!
Habari zenu wandugu
--Husika na kichwa cha habari hapo juu, kama tulivyoazimia kesho kwenda kudai haki zetu za msingi, Yafuatayo tunapaswa kuizingatia na kukubaliana ili kuweza kufanyikisha:-...
Ndugu wanajamvi naeleza haya kwa masikitiko makubwa sana kwa tabu zinazowapata baadhi wa wanafunzi vyuoni.
vyuoni kuna baadhi ya walimu wanawafelisha wanafunzi kisa wanafunzi hao wameshindwa...
Shikamooni wakubwa zangu
Wengine habar zenu!!!!!
Mm ni bint yatima
Ambae ni mwanafunz wa Open nachukua social work naingia mwaka wa pili mwez octobe
Mwaka jana nilijaliwa kupata ada kwa...
Jamani kawa anaejua mkwawa univesity aka muce anijuze haya yafuatayo maana nimechaguliwa huko.. 1 kuhusu hostel zipo za kutosha? 2.kwa mwaka hostel ni sh ngapi? 3 chuo kipo sehemu gani iringa...
habari wana jf napenda kuwajulisha kuwa baadh ya majina ya wanafunz waliopewa mkopo ni wale wa st.joseph university tu so wale wengine kesho wizarani mapema tu hadi paeleweke.
habari ndio hiyo hapo wanatakiwa kuripoti kuanzia tar. 3 october paka tar. 6 october..! kama unataka kuahirisha utaratibu ni ule ule barua.. source kwenye website ya jkt..! nawasilisha
jaman mm n mwanafunzi wa mwaka wa kwanza ifm pale sasa natokea mkoani na hostel nahisi kukosa sasa kwa anaejua vyumba vilivyopo makumbusho na bei kwa mwezi anitajie na aache no yake...
naomba kufahamishwa kwa wale waliosoma bachelor of science general udsm baada ya kumaliza unafanya kazi gani au namaanisha unaweza kuwa nani, na unaweza kufanya kazi na taasisi gani? naomba majibu...
Hello i would like to know what does it take to get the First Class with a higher GPA from those who archived it,also views of other members are allowed..Note is it true that most people who made...