Wanajamvi,
Naomba msaada na maarifa.
Nimepata shule UK na scholarship tayari.
Shida, wanadai lazima nifaulu mtihani wa IELTS kwa level ya 6.7
Nilifanya TOEFL lakini sikufaulu kihivyo.
Msaada...
Salaam wana jukwaa,poleni kwa majukumu,naomba kama kuna mwenye muongozo wa kufungua au kuendesha hizi english medium school tafadhali anipatie.natanguliza shukrani.
Habari zenu wanajamvi! Kwa mwenye ujuzi naomba anijuze mchanganuo wa fedha ya mkopo kwa mwanafunzi wa chuo. Je, inahusisha na fedha ya kujikimu? NATANGULIZA SHUKRANI!
hilo ni jambo la kawaida hata msihofu ndugu zangu kilichotokea ni kwamba sasa ndo panel zinaanza kukaa kwa ajili ya kufanya selection so course zenu mlizochagua hamuwezi kuziona kwa sasa ila...
Inawezeka wengi walishajiuliza kwanini, kunamwandiko wa kiume na wakike! Jinsia katika mwandiko inatoka wapi? Kwanini mwandiko wa kike unatofautiana na wa kiume?
katika utafiti ulifanywa na...
Toshiba satellite J60
Specifications:
Hard disc 40GB
RAM 2GB
Speed 1.8
Battery inachukua saa moja,
CD ROM
Sababu ya akuuza : Siitumii sana koz ninayo nyingine ,so kama upo...
Jamani program zangu zote 5 zimeandikiwa ''CHECKING IN PROGRESS'' hadi sasa na mpaka leo nasema ni karibu mwezi na cku kadhaa! Cjui ni kwangu tu au system bado?!...msaada tafadhari.
Habari wanajamvi,
Naleta kwenu hii maneno tupate kushirukishana vituko hivi, Chuo cha Mipango na maendeleo vijijini mpaka wakati huu bado wanatoa matokeo ya mitihani kwa kubandika kwenye mbao za...
kwa wale malengo ya kutafuta scholarship nchi za wenzetu, nawatumia hiyo link itawasaidia sana:
Scholarships For Tanzanians | 2013-2014 International Scholarships for Development
Nawatakia...
Wakuu mi nimeshinda kuielewa hii kitu jana juzi na leo asubuhi profile yangu ya tcu ilikuwa vizuri kabisa lakini ajabu nimejaribu kuingia sa hizi nakuta majanga kwamba sijaaply chochote sa...
Tangazo la JKT
MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA MEJA JENERALI RAPHAEL MUHUGA ANAPENDA KUWAALIFU WAHITIMU WOTE WA KIDATO CHA SITA KUWA MAFUNZO YA JKT YATAENDELEA KUENDESHWA KWA AWAMU TOFAUTI TOFAUTI...
Jamani kwa wanafunzi, tulioomba maombi ya kujiunga chuo, mbona leo tunaandikiwa SORRY YOU HAVE NOT DONE APPLICATION, sasa ndo nini hiki? Wakati tushafanya? Hebu nisaidieni wadau.