Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Nahitaji kujua takwimu za shule za msingi kama ifuatavyo IDadi ya shule za msingi tanzania Idadi ya walimu katika kila shule Idadi ya wanafunzi kila shule kwa jinsia takwmu za matokeo miaka kumi...
0 Reactions
5 Replies
12K Views
Ndugu wanajamvi nataka kuomba diploma ya udaktari wa mifugo kwa mwaka wa masomo2013/14,nimeona Tangazo la nafasi katika website ya wizara ya mifugo,kilichonitishanilipata taarifa awali kuwa ada n...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu,kichwa cha habari kinahusika. Naomba nisaidiwe,kuna ndugu yangu aliugua mwaka 2011 na alikuwa mwaka wa kwanza UDSM. Hakufanya mtihani wa semister ya kwanza,na kwenye ARIS inaonesha ame...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
mimi ni mgeni katika jukwaa hili. naomba mnipokee
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani naombeni mnisaidie........hv ninaweza kupata chuo ambacho kinatoa diploma ya tax management kwa masomo ya jion?? Coz asubuh nko bize kwa kutafuta chochote cha kula.
0 Reactions
1 Replies
862 Views
Jaman kama mshasahihisha mitihani na mkapanga matokeo na mnajua tarehe ya kuyatoa kwann msitujulishe na sisi kuwa mtayatoa tarehe fulani ili kila mtu akae akijua matokeo ytakuwepo tarehe fulani...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
jamani mimi member mpya, napiga hodi, ITIKENI BASI
1 Reactions
4 Replies
852 Views
Wana JF ningependa kujua kama kuna m2 kaskia tetesi zozote kuhusu wa2 tulivo perform katika hii mitihani maana mi nimeambiwa eti physics t.o pp1 ana 59 % . Je ni kweli ? Na masomo mengine vp ?
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wana JF hawa jamaa wa bodi ya mikopo hatuwaelewi kabisa kwa sisi tunaotaka kukata rufaa. Kwenye Tangazo waliloweka kwenye Wall yao inaonesha Saver ipo tayari kwa kukata rufaa lakini kila ukijaribu...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Ili tuendelee kama taifa ni lazima tujiulize maswali matatu haya muhimu: (What? Why? and How?) (1) Nini tunataka tuwe kama taifa? Falsafa yetu kama taifa ieleweke bayana kwa kila Mtanzania. (2)...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
naamin wote mu wazima,bodi ya mikopo imetoa taarifa kuwa watu waanze kuomba mikopo kwa mwaka wa na kwa wale wanaoendelea kuanzia tar 1 mei mpaka 30 juni.Mimi niliomba mwaka jana lakini sikupata...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
hello guyz...........
0 Reactions
3 Replies
839 Views
naomba ushauri kiukweli tangu nkiwa mdogo form three(2006) ilitokea nkapenda san kufanya kazi benk ikanilalim kuanza ksoma masomo ya biashara(HGE) nkafaulu hiyo kombi nkaso A level ndipo ankafaulu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeingia kwenye web ya heslb,hakuna taarifa yoyote juu ya application 2013/14,kama walivyokuwa wametangaza kuanza leo;kama kuna m2 anataarifa zaidi atujuze
1 Reactions
1 Replies
2K Views
http://olas.heslb.go.tz ishaanza kupiga mzigo kwa waombaji wapya na wazamani kwa wale wahanga wa last year kuna kulipia tena 30,000/=, ukijumlisha na ya last year inakuwa umechangia 60K :A S 20:
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hello wana jf. Kwa wazoefu na waliopo vyuoni je hili linawezekana. Imepita miaka mitatu tangu niache chuo bila kutoa taarifa yoyote.na ku deal na biashara,sasa nataka kurudi chuoni nilikukowa...
0 Reactions
35 Replies
8K Views
wadau naomba kuuliza kama sasa wanafunzi wa law school wanapewa ufadhili na serikali.nakumbuka mwanzo ilikuwa tatizo bse wengi walishindwa kulipa ada na ilikuwa tatizo kwa wale wa mkoani kuishi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza Watanzania watakuwa na fursa ya kupata mafunzo ya kompyuta katika ngazi ya kimataifa, International Computer Driving Licence (ICDL) certification, yatakayoendeshwa na Kituo cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ndugu, kwa wale wanaotaka kwenda kusoma India katika level za diploma, degree na hata master napenda kiwajuilisha kuwa nafanyia Admission bureeee kabisa bila ya charges zozote. Kama...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Evans Kisanko ameibuka mshindi katika uchaguzi wa Rais wa DAR ES SALAAM UNIVERSITY STUDENTS ORGANIZATION (DARUSO) baada ya kuwashinda kwa kura wagombea YASINI ATHUMANI, EGIDY MKOLWE, tunategemea...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…