Habari wakuu
Msaada wakuu,katika kuapply huku ukiwa na diploma imetushinda tumehangaika wee hadi vichwa vinauma na ukifika sehemu ya kuhakiki ulikotuma kwa m-pesa tunaambiwa namba sio sahihi,muda...
habari za uhakika n hz hapa: Poleni sana kidato cha sita wenzangu kwa kuwa na stress za kusuburi matokeo ila kwa taarifa yako ni kwamba shusha pressure tu yaani kwani kutokana na ubovu wa matokeo...
Ndugu wana JF naomba kwa yeyote anayeweza kusaidia kupatikana mawasiliano ya Waziri wa Elimu anipe.
Huu ni mwezi wa pili sasa mamia ya walimu tulioajiriwa Machi2013 hatuna mishahara.
Mbaya zaidi...
Ukweli ni kwamba wahitimu wengi wa Chuo kikuu cha Dar es salaam ni vilaza/wababaishaji [Si kikwete tu!]. Hii inatokana na jinsi wanavyofundishwa [wanakaririshwa na si kueleweshwa] watu wa aina...
Worse2565 40.1%
Not Fair2259 35.4%
Good939 14.7%
Excellent247 3.9%
I don't know214 3.3%
Very Good162 2.5%
Hii poll iko website wizara ya elimu.
Sijui hata kama wanalichungulia. Au imewekwa tu...
Wakuu salaam. Ninapenda sana kujua taarifa za wanafunzi wa Mzizima Secondary School tuliosoma miaka ya 1980's enzi za waalimu kama Mr Juma, Mr Acharya, Mrs D'Souza, Mama Mngodo, Mrs Bagalkote...
vijana mtulie ., hamuwezi kupewa matokeo yenu wakati Kama huu ambapo bungeni kuna mambo mengi yanayowaumiza waheshimiwa vichwa.
Matokeo tulieni mpaka bunge lipoe.
Ni mawazo yangu tu...
mi nimehitimu kidato cha sita mwaka huu na nasubili matokeo ila hz mambo za university application zinanchangana sana hasa kuhusu HESLB na TCU nashindwa kujua ipi ni ipi na kila ipi tunaaply...
Kufuatia matokeo mabaya na ya kusikitisha sana kwa mara ya kwanza Tanzania zaidi ya watahiniwa 60% kufeli, kuna mkakati unapangwa kuishauri serikali kupitia wizara husika kuwachagua wale wote...
Kwa ambao wameconnect na CCNP, ORACLE na CCNA.
Wakuu, ambao mnategemea ku apply bachelor degree in IT kwa miaka 4 ambayo wameconnect proffesional course ambazo ni
1.ccna
2.ccna security...
Wakufunzi mashetani ni aina ya wakufunzi vyuo vikuu ambao wana mapepo ya ngono,wana elimu ya vyeti tu na wamekuwa wakigawa ufaulu au GPA nzuri kwa wadada ambao huwa tayari kutoa miili yao...
Matokeo ya kidato cha sita waliohitimu mapema mwaka huu yako tayari kutangazwa. Yanaonesha ufaulu kushuka kama ilivyotokea kwa kidato cha nne mwaka huu. Ufaulu wa wavulana umeuzidi wa wasichana...
Juz tar 28 mwez huu imezinduliwa taasisi maarufu sana ya kichina iitwayo Confucius Institute katika colege ya SSH Udom, na Mzee wenu Mkapa, masomo yatakayo fundishwa ni pamoja na Hu Shu, Karate...
Shule za sekondari kuhamishiwa TAMISEMI. Watendaji wa Tamisemi badala ya kusimamia taaluma mashuleni, wanasumbua na kuharibu taaluma kwa (a) kuingilia utawala wa shule katika...
Wale wanaofikiri kunji ziko Bongo tu, wanakosea. Ziko mpaka katika Vyuo vikuu vya Marekani. Wanafunzi wanne wa Chuo Kikuu cha Ohio walikamatwa na Polisi kwa kuvamia kikao cha Bodi ya Wadhamini...
Kagame appoints don of Tanzanian
origin minister Wednesday, 27 February 2013 22:01 By The Citizen Correspondent
Kigali. President Paul Kagame of
Rwanda has appointed a professor of
Tanzanian...