Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

HERE IS HOW A STUDENT OBTAINED 0% IN AN EXAM - Personally, I would have given him 100% how about you? Q1. In which battle did Napoleon die? * his last battle Q2. Where was the Declaration...
0 Reactions
0 Replies
664 Views
Jamani wadau naomba kuuliza mtu anaye fahamu ofisi za Study link tanzania. nashukuru
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama kuna kitu kinachoumiza wazazi wa wanafunzi kwa sasa basi ni tabia ya walimu kukalia madai tu. Mfano walimu walioajiriwa mwaka huu kati yao zaidi ya elfu 12 inasemekana hawajaripoti...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Pole na majukumu, Naomba kuuliza; Kwa mtu aliyesoma B.Sc in Building Economics (degree ya kwanza) kisha akasoma MBA Marketing, akitaka kusomea mitihani ya uhasibu atakuwa anaqualify kuanza na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mm ni muhtimu wa kidato cha 6 natarajia kujiunga na chuo kikuu mwaka huu ni kipi chuo bora wakubwa,nielekezeni mdogo wenu na munipe sababu kw nn ni bora?
0 Reactions
132 Replies
30K Views
Ndhani management ya IFM inapaswa kulaumiwa kwa ujambazi unaoendelea kufanywa kwa vijana wao wanaokaa sehemu mbalimbali. Pia inaonyesha walivyo wavivu wa kufikiri hivi unategemea mwanachuo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nchi nying dunian zilizoendelea ni kutokana na kuwekeza katk sekta za elimu, ss hapa kwetu tanzania shule zpo lakin vitendea kaz haba, hakuna shule ya kata hata moja yenye maaabara ktk masomo...
0 Reactions
1 Replies
984 Views
Hebu tuache tofauti zetu tujiulize maswaili yafuatayo: .je ni kushuka kwa maadili ya jamii nzima? .Je ni mitaala yetu isiyokua na dira? .je ni sera ya elimu kuwa mbovu? .je ni ni wataalamu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama sikosei, nilisikia itatoa ripoti ya sababu za kufeli vibaya kwa wanafunzi wa Kidato cha Nne, 2012 mwezi wa Nne katikati. Sasa mwezi wa tano unakaribia, je tume hiyo itatoa lini ripoti ya...
0 Reactions
1 Replies
932 Views
Migomo iliyokithiri vyuoni ni kukua kwa ulewa wa haki?,ujasiri wa kuzidai?,au ni kukithiri kwa uonevu kwa wanachuo na kutothaminiwa kwa haki zao?Lakini tujiulize pia vyuo visivyokuwa na rekodi za...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni kama vile Serikali imeamua kupuuzia mustakabali wa Elimu ya Tanzania licha ya kelele zinazopigwa kila siku kufuatia kuyumba kwa elimu ya nchi hii,safari hii serikali imewahadaa walimu kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
A very interesting bestseller book. Kwa mliokisoma kitabu hiki; unakubaliana na principles zilizoainishwa na Kiyosaki (especially to the African economic context)? Je, umeshaapply principles hizo...
2 Reactions
50 Replies
9K Views
Ni kurejea katika mahitaji ya taifa na kutengeneza mfumo unaojibu mahitaji hayo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
tumeona matokeo ya kidato cha nne jinsi yalivyokuwa mabaya sana na tujiulize kama matokeo ya kidato cha sita ya kitoka vibaya huko mtaani sijui kutakuwaje kutkuwa na ongezeko kubwa la vijana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naombeni msaada wa link ambazo ninaweza kupata maelezo mazuri kuhusu ubinafsishaji hasa nchin Tanzania
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Nahitaji kusoma chuo cha Nairobi Institute Arusha course ya Tourism and Tour Guide.. Vp jaman chuo kinafaa na pia hii course inalipa.. Nisaidieni jamani kabla sijaenda chuoni.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Farida, hellow naombeni msaada kuhusu haya matokeo japo nimechelewa hstry f eng d kisw c geo d civ c math f biology c, je anaweza soma kidato cha tano au nifanye nini?
0 Reactions
5 Replies
944 Views
Briefly in tanzania we dont take education as a capital this is because we have a classes in giving education to our people I ssee in the societies how the familly it self diverty from other families.
0 Reactions
0 Replies
570 Views
Nikiwa kama mmoja wapo wa walimu wa Tanzania nimefanya uchunguzi asilimia kubwa ya walimu hawakitaki hicho chama kwasababu kiko kwa maslai ya wakubwa na serikali.Sasa kuendelea kutushinikiz...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
The Mute plunder - BIO RESOURCES ANd Dispossession in Tanzania , Ng'wanza kamata (2008)
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…