SHULE ya Msingi Machala iliyopo Kata ya Miono, wilayani Bagamoyo, Pwani, inakabiliwa na ukosefu wa vyumba vya madarasa, hali inayosababisha wanafunzi wa...
SHULE ya Sekondari Majani ya Chai iliyoko wilayani Ilala, Dar es Salaam inakabiliwa na tatizo la baadhi ya wanafunzi wanaojiunga kutokujua kusoma kwa ufasaha...
nimeicopy kutoka sehemu......
TUME YA MH. PINDA INATIA WASIWASI Jana Mwenyekiti wa Tume hiyo, Profesa
Sifuni Mchome alidokeza baadhi ya
sababu zilizotolewa kwa wingi na wadau
wa elimu...
Kuna ambae tayari amewekewa pesa,maana walisema wataanza kuwawekea pesa watu kwenye account zao tarehe 20/november?au ndo wamewatapeli watu bcoz ukipiga hata namba zao hazipokelewi?
HABARI WANA JF KUNA MDOGOWANGU NI MUHITIMU WA KIDATO CHA 4 MWAKA 2012 NA MATOKEOYAKE SI MABAYA SANA MAANA ANA DIV 4 YA POINTS 27
MATH-C
PHY-D
CHEM-D
GEO-D
KISW-D
ENGL-D
BIOS-D
CIVS-D...
Heshima kwenu wakuu. Nina mdogo wangu wa kike amemaliza form four mwaka jana. Amepata four ya 31. Ana D ya chem, bios, maths na kiswahili. Yaliyobaki ana F. Nilipo hapa nawaza asome chuo gani...
HABARI WANA JF KUNA MDOGOWANGU NI MUHITIMU WA KIDATO CHA 4 MWAKA 2012 NA MATOKEOYAKE SI MABAYA SANA MAANA ANA DIV 4 YA POINTS 27
MATH-C
PHY-D
CHEM-D
GEO-D
KISW-D
ENGL-D
BIOS-D
CIVS-D...
Ilikuwa mwaka 2010 wakati wa campaign za kikwete,akasema walimu ni..............! sa ivi vanaosoma kozi zisizo za ualimu wanaona wao ndo walifaulu mitihani ya kidato cha 4 na 6! na hawajui kuwa...
Nakichukulia kama ni chuo cha kibabaishaji kwasababu zifuatazo.
1.Hawako vizuri kwenye records keeping kwa mfano unaweza kurudishwa usiingie kwenye chumba cha mtihani kwasababu kumbukumbu zao...
KWA UFUPI
Mkuu wa Sekondari hiyo, Jasinta Assey alikiri na kusema kwamba vitendo vya uvutaji bangi na biashara ya ukahaba kwa wanafunzi wake, vinachangiwa na askari wa Kituo kidogo cha Stakishari...
habari,mimi ni mwl.wa shule za msingi napenda
kuhamia Dodoma wilaya yoyote ile kama umepangiwa Dom na ungependa kuja
mara call:0756079492,0783194892,0657853544.asante.
Ameyasema hayo leo akiwa mkoani Arusha akiongea na wadau wa elimu mkoani humo.Amebainisha kwamba masomo kwa darasa la kwanza yatapunguzwa na kuwa matatu:Kusoma,Kuandika na Kuhesabu (KKK).Source...
Mwanafunzi huyu ni mdogo wake na rafiki yangu,wao wanaishi kijijini ambako hakuna mambo ya mitandao kabisaa!!
Nimuhitimu kidato cha 4 2012.matoke yake kama...
Jamani naombeni mnisaaidie majina/websites ya vyuo vya afya vya serikari vinavyotoa cheti na stashaada:katika fani medical laboratory na clinical officer
WATANZANIA WENZANGU,
Hii taarifa nimeipata hivi pinde toka kwa mtanzania mwenzetu ambaye anasoma PhD Ujerumani lkn kwasasa yupo hapa Dsm akifanya Data Colection. Alikuja ofisini kwetu na katika...
"Tulipoingia madarakani mwaka 2005 tulifanya mambo mawili muhimu kuhusu mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Kwanza uamuzi kwamba, mikopo itolewe kwa wanafunzi wa vyuo vikuu vya umma na vile...
Kwa wale wasiofahamu MUST ni MBEYA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY.Ni hivi karibuni TAASISI imepandishwa hadhi ya kuwa chuo kikuu sasa nauliza kwa Wanaohusika ambao ni serikali ni lini...