Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Institute for the Study of Diplomacy(ISD)-Georgetown University(USA) is offering Scholarships to International Student for Diplomacy study. Requirements for Diploma Level -Certificate of...
0 Reactions
1 Replies
676 Views
Habari zenu wana jf nafkiri mko poa! Wakubwa mnisamehe sana kwa hili nina shida na website za vyuo vya goverment nataka ni download form za kujiunga na vyuo naombeni...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Mwalimu mmoja ameripoti kwa ajiri ya kuanza kazi kama walivyopangwa hivi karibuni, mkuu wa shule kampokea halafu akamkaribisha alale store, chumba ambacho hakuna Hata dirisha, huyu mwalimu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Example1 3 + 7= 10 Assignment 6 + 8=________ Examination Solve for 7y+12x-32+16y+- -15x-18y+36x=___ -______ Is this really fair?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo ktk shule hii wanafunzi wamepiga mawe walimu na kuvunja vioo vya shule nzima,ililazimu polisi wa kutuliza ghasia kufika eneo hilo na kutuliza hali ya hewa. Chanzo cha habari rasmi kinadai...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habar za leo wana jf naomba mnisaidie kwa mtu ana fahamu maana ya nene zimbabwe.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wana jamvi wenzangu nisaidieni katika hili, kwasababu ukienda mashuleni wanakodai wametuma unaambiwa hawajapelekewa. Kama kuna anaye jua undani wa jambo hili naomba anifahamishe.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wakuu heshima kwenu. Naomba msaada kwa anaejua wapi ntapata shule kwa ajili ya mtoto wangu ana 5yrs. shule nzuri na nikijua ada kwa mwaka nitashukuru sana. Asanteni kwa msaada
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wna jf naombeni munisaidie kama kunaanayejua kuwa nafasi za kujiunga najeshi la polisi znatka lini? Nina f4 ya 29 inafaa?
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nina mdogo wangu anataka kusoma iyo kitu.so kama kuna mdau anaifahamu ii kozi.market yake na maeneo gani haswa anawez akafanyia kazi.Natanguliza shukrani
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndg zangu mtandaon nahtaj kwenda kusomea udaktar wa mifugo kwenye vyuo vya serikali ngazi ya diploma,vp jnc ya kutuma maombi maana mtandaon kwenye wizara ya mifugo cjaona nafac zikitangazwa ilhali...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ndugu, naomba kujulishwa na wale ambao wana utaalamu na mambo ya barabarani haswa hapa kwetu bongo. Mara nyingi ukiwa unasafiri inatokea madereva wanapeana ishara, mfano kwa kuwashiana taa full au...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Leo 19/03/2013 Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii imefanya ziara ya kutembelea shule mbalimbali Wilaya ya Bagamoyo na kukagua miradi mbalimbali ya TASAF kama vile ujenzi wa madarasa,maabara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo 19/03/2013 Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii imefanya ziara ya kutembelea shule mbalimbali Wilaya ya Bagamoyo na kukagua miradi mbalimbali ya TASAF kama vile ujenzi wa madarasa,maabara...
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Habari wadau wa elimu! Matokeo ya kidato cha nne 2012 yalishatoka, yaliyo tokea ni DEBATABLE ISSUE, lakini tunapaswa kuganga yajayo huku tukitafakari nini cha kufanya, MAANA maisha yanasonga...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Chuo kikuu cha DODOMA kimeshindwa kutoa TRANSCRIPT kwa wanafunzi waliohitimu katika chuo hicho mwezi Juni 2012. Wengi wao wanapoomba kazi wanatumia STATEMENT OF RESULTS ambayo haitambuliki...
1 Reactions
55 Replies
7K Views
Jana niliaidi kueleza japo kwa ufupi tu kile kinachoendelea kwenye taasisi ya umma tena ya elimu ya juu ambapo asasi za kijamii, taasisi binafsi, mashirika yasiyokuwa ya kiserikali (NGOs)...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi nimehitim kidato cha nne,lakini siko vizuri kwa upande wa lugha ya kiingereza.kuongea na kuandika,Je niende kusoma ili niweze kuijua hiyo lugha viruri?kwa anaye jua please Sent from my...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
:yo:NDUGU watanzani hebu tukae tujiulize wapi tuendako. Wahengana walisema ukitaka kumtawala mtu vizuri usimpe vitu mhimu viwili ambavyo ni elimu na chakula, leo hii tunaona taifa linavyoandaa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
:yo:NDUGU watanzani hebu tukae tujiulize wapi tuendako. Wahengana walisema ukitaka kumtawala mtu vizuri usimpe vitu mhimu viwili ambavyo ni elimu na chakula, leo hii tunaona taifa linavyoandaa...
0 Reactions
0 Replies
905 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…