Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Students GPA has always been considered as rating of the quality and ability of students who have completed certain course. Since many years this has been so, Even in employment many organisations...
0 Reactions
1 Replies
796 Views
Na Hellen Mwango Wanafunzi 18 wa vyuo vikuu nchini wameburuzwa mahakamani baada ya kubainika kushindwa kerejesha mkopo uliowawezesha kupata elimu ya juu kutoka Bodi ya Mikopo...
0 Reactions
0 Replies
947 Views
Kwa wale waalimu ambao majina yao hayakutokea katika awamu ya kwanza wizara imetoa ajira nyingine awamu ya pili.tembelea hapa utaona www.moe.go.tz
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau, wapenda maendeleo wote! Kuna mpango maalumu wa kufungua madarasa huru, kila kijiji cha nchi hii, lengo ni kuwaandaa Watanzania wote na ukombozi wa nchi yetu 2015. Tunataka kila mtu aone...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
nimejaribu kutembelea web ya Moe inagoma.... naomba mwenye majina anipe attachedment hapa tuweze ku download toka hapa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU AJIRA YA WALIMU WAPYA WA SHULE ZA MSINGI, SEKONDARI NA VYUO VYA UALIMU TANZANIA BARA MWAKA 2012/13 Jumla ya walimu 26,537 wameajiriwa Serikalini kwa mwaka wa fedha...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ni vitivo gan vinahusiana na somo la geography UDOM?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni furaha ilioje kwa walimu kusikia taarifa ya ajira zao ! Tunawatakia maandalizi mema ! Na kwa wale wa kidato cha nne endeleeni kuwa wapole maana haijulikan siku wala saa necta watakavyowasuprise
0 Reactions
3 Replies
1K Views
walimu wenzangu kuna shule ukipangwa ni zaidi ya jela fanya utafiti kabla hujakurupuka. shule isiyo na nyumba za walimu, vyoo, staffroom, umeme, network, iko jangwani kusiko na all wether road...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Maana imekuwa kawaida kusikia nao wakiitwa madaktari hasa huku kwetu uswazi, naongelea hawa waliosemea hizi diploma za medical assistance....etc . Wanaitwa madokta nao wanaitikia na...
0 Reactions
68 Replies
21K Views
Habari wanaJF! Nimehuzunika sanasana tena sana leo hii baada ya kuwaona na kuwasikia Mawaziri wa Elimu ndugu Dk Kawambwa na Mulugo wakitangaza Ajira mpya za walimu zaidi ya elfu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Safari hii ni Bible Knowledge na Islamic Knowledge. Mitihani hii miwili imezua sintofahamu na kusababisha matokeo ya Kidato cha Nne kuchelewa kutoka. Yalipaswa kutangazwa Jumatatu ya tarehe...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani Naombeni Ushauli: Nimetimuliwa Hom Sasa Naishi Maisha taiti Wanahisi Nilifeli Mtihani Ndomaana Sjapata Kazi. Nawaambia Post Hazjatoka Lakni Hawaamin! Noma Zaid Gazeti La Mwananchi...
1 Reactions
52 Replies
6K Views
Naomba kujua full jina la katibu mkuu wa bunge na majina ya wenyeviti wawili
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. Contact us for scholarship...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenye taarifa za ukweli atuambie na awe na uthibitisho! Ebu acha kuturusha roho zetu bure!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Serikali kupitia wizara husika imetangaza mpango wa wanafunzi 5000 waliomaliza kidato sita kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa kwa mujibu wa sheria, kama ilivyokuwa hapo awali kabla ya mpango huo...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Introduction Sikika is a non-governmental organization that advocates for quality health services for all Tanzanians. The organization works to ensure equitable and affordable quality health care...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu sasa katika nchi ya Tanzania kumekuwepo na wazandiki ambao wanasambaza uongo na uzushi kuwa mitihani inasahihishwa kidini. Wazandiki hawa wanazusha kuwa, watu wa dini fulani...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Mwenye idea ya wapi naweza access full scholaship ya PHD kwa course za mazingira na maendeleo naomba anisaidie. Asanteni kwa wote mtakaoguswa kunipatia taarifa hii muhimu kwa ustawi wangu.
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…