nikizungumkuti ambacho mpaka sasa hakieleweki nani mchawi bodi ya mkopo kwani wanafunzi wapatao 400 ambao wanaendelea na masomo na walikuwa wanapata mkopo tokea mwaka wao wa kwanza ila tangu...
Kwa mara nyingine tena ofisi ya uhasibu imefanya madudu mengine na kuwagharimu wanafunzi zaidi ya 500 ambao hadi sasa hawajapata mikopo yao. Tangu kuanza kwa mwaka wa masomo baadhi ya wanafunzi...
Ni jambo lisilopingika kuwa watoto wa masikini wanao soma shule za kata wanapewa MITIHANI na NECTA kwenye masomo ambayo hawajawahi kufundishwa na wanaandikiwa 0 ambayo ni F na kuwaharibia vyeti...
Najua sitapata muda tena wa kuwa hapa jukwaani siku za hivi karibuni.ila napenda kuwatakia kila la heri wanafunzi wenzangu wa udsm katika mitihan yenu itakayoanza tarehe 18/01/2013,mungu atujalie...
Habari wakuu,
Kichwa cha habari kinajieleza nahitaji msaada wenu ndugu,wa vyuo vya elimu diploma,na gharama zake na vipi application zake hufanyika mwezi wa ngapi,plz wadau
nawasilisha.
Nakipongeza chuo hiki kwa maendeleo na maboresho yanayofanyika kukiwezesha chuo hiki kichanga kiumri lakini kikubwa kwa taaluma.
Binafsi nimejiridhisha kwa elimu ninauoipata hapa.
Habari wana JF! ninajambo naomba mlitolee mawazo, kabala ya kulisema ngoja nikupeni picha ya elimu yetu. ni kwa muda sasa nimekua nikifuatilia mtaala wa elimu yetu toka nipate ufahamu na uelewa wa...
Yapata mwaka sasa toka vijana walio dahiliwa 2011 wameka bila mkopo na wengine hali haikuwa favour nature haikuwaselect wakang'atuka huku fitest waki survive kwa shida na raha. Kwa vijana wa SUA...
Kwa mujibu wa hotuba ya rais Jk aliyoitoa jana walimu 28746 kuajiliwa jan 2013.jan ndo hii,so walimu kaeni mkao wa kula,but jiandaeni kwenda vijijini.hongereni walimu.
naomba mawazo yenu walimu ambayo yatanisaidia kufanya utafiti kama bado kunaumuhimu wa lesson plan kwani kunawalimu ambao wanafundisha vizuri but hawana lesson plan wengine wanalesson plan but...
Kutokana na tamko la wazir Mulugo,walimu watakaoajiliwa jan 2013 kwenda mikoa ya katavi,kigoma,lindi,mtwara,mbeya(v),simiyu na shinyanga,je ina maana mikoa mingine haitopata walimu? Na hiyo jan...
Ni hali ya kusikitisha kuona kwamba mkuu wa JKT leo katoa orodha ya shule chache ambazo wahitimu wao wa kidato cha 6, mwaka huu 2013 watajiunga na JKT kwa mujibu wa sheria. Mtindo huu umenipa...
Tafadhali Wadau,
Naomba kuulizia maajenti wa vyuo mbalimbali vya nje waliopo Tanzania. Lakini wale ambao ni waaminifu na wanawakilisha vyuo ambavyo vinatambulika.
Walimu wapya 28,638 sasa
kupelekwa vijijini
Na Godfrey Mushi
19th November 2012
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufunzi, Philipo Mulugo
Serikali imetangaza mpango mpya wa ajira za...
Ni muda mrefu tumekuwa tuna zungumzia sayansi hapa Tanzania lakini nimegundua kuwa hatuizungumzii sayansi katika mazingira ya kuwa pata wanasayansi na wavumbuzi wa kisanyansi bali tunazungumzia...
HUYU JAmAA ANAYEJIITA MAKAMUZI ALIWAHI KUNIWEKEA THREAD NIPIGWE BAN ,NDIPO HAPO TUKAINGIA KWENYE UGOMVI ULIOCHUKUA MIEZI SITA ,KWA SASA HUYU MAKAMUZI NI RAFIKI YANGU KWA SABABU AMENIOMBA MSAMAHA...