Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Remember that mwalimu nyerere said; experience(knowledgable) is the most concerned in working staffs!!!!!!
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Science has been cancelled because your Parents (and leaders) preffer to believe in MAGIC.
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Haijalishi unapitia wakati au kipindi gani katika mwaka uliopita wa 2012, haijalishi huko nyuma umelia mara ngapi na bado unaendelea kulia, na haijalishi uhalisia wa maisha yako unaonyesha nini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Happy New Year. Msaada jamani natafuta shule nzuri ya watoto (Nursery) affordable (for middle class) iwe maeneo ya Tegeta, Boko, Bunju, Mbweni na maeneo ya jirani na hayo...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Nimehamia Kawe, nataka shule english medium kwa ajili ya binti yangu, darasa la 4 kwa mwaka 2013. Nitapenda shule iwe na ada ya watu wa kati, usafiri uwepo kwenda na kurudi. Iwe shule kweli sio...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu mwenye info za shule nzuri ya Private ya PCM anisaidie, kuna ndugu yangu anataka kumpeleka Mtoto wake wa Kike, I we mchanganyiko au pure wasichana,
0 Reactions
0 Replies
2K Views
The MasterCard Foundation has partnered with Michigan State University to provide full scholarships to master's students from sub-Saharan Africa. ELIGIBILITY: Students must have demonstrated...
0 Reactions
2 Replies
899 Views
Ndugu zangu. Ninahitaji kupata taarifa juu ya PhD programs za UDOM. Nimeaangalia kwenye website yao www.udom.ac.tz lakini sikupata taarifa zozote za jinsi ambavyo ninaweza kujiunga na kozi ya PhD...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
JE UMEMALIZA FORM 4 NA UNATAKA CHUO?? MWIKA TEACHERS COLLEGE NI CHUO CHA UALIMU KINACHOTAYARISHA WAALIMU WA ELIMU YA AWALI (ECDE) KOZI NI YA MIAKA 2 NA ADA NI NAFUU SANA. KUNA HOSTEL.. CHUO KIPO...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
nawaombea wote wanaotafuta credit za form four kwa mwaka2013 uwe na mafanikio. Maandalizi ya mapema ndo yatawaletea mojawapo ya credit hizi: 2 0 1 3
0 Reactions
0 Replies
741 Views
nawaombea wote wanaotafuta credit za form four kwa mwaka2013 uwe na mafanikio. Maandalizi ya mapema ndo yatawaletea mojawapo ya credit hizi: 2 0 1 3
0 Reactions
0 Replies
780 Views
KIFO cha mwanafunzi Dalton Ott Nyanyika wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kilichotokea jijini Dar es Salaam hivi karibuni, kimegubikwa na utata kufuatia ndugu na wazazi wake kudai aliuawa. Kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
happy new year wana JF!
0 Reactions
2 Replies
973 Views
Tuwahi kurudi chuo maana ratiba ya ue ishatoka tangu tar 26 dec
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana jamii forum wenzangu hasa ktk jukwaa Elimu katika elimu Idara ya Ukaguzi wa shule ni muhimu sana kwa maendeleo ya elimu nchini. Idara hii imeachwa si kusahauliwa haifanyikazi yoyote wakafuzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Happy new year 2013 to all: Did you know we learn more by being good listeners than by being good speakers? Did you also know that in most schools we are taught how to speak and read but not...
0 Reactions
0 Replies
689 Views
Sote katika nyakati tofauti tumepitia na kukua katika mikono ya walimu.Katika kipindi chote hicho yapo mengi tuliyopitia. Kuna walimu walikuwa wakali sana,kuna walimu walikuwa wapole sana,kuna...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Dears JF members; Mwaka 2013 umetengenezwa kwa namba nne zinazofuatana ambazo ni 0, 1, 2 na 3. Mara ya mwisho namba hizi zilitengeneza jina la mwaka ilikuwa ni mwaka 1320, ambapo ni miaka 692...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu.Ninaomba kujuzwa ni ipi ngazi ya juu kabisa ya elimu.Na pia ni trend gani hufuatwa tangu mtu amepata degree ya kwanza na kuendelea lakini pia Phd Holder na Professor...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Sua naifananisha na club kongwe nchni italia ya juventus,licha ya umri wake mkongwe,club hyo haina mafanikio makubwa na wala sio maarufu sana barani ulaya kama zilvyo club nyingne zenye majina...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…