Heri ya mwaka 2013 wanaJF,
Jaman naombeni msaada kwa anayefahamu anapofundishia dada Sabrina somo la Auditing and Assurance kwa wale wanaofanya mitihani ya NBAA module F,vile vile Center ya...
Wasiojua kusoma wachaguliwa kujaza shule za kata
na Waandishi wetu
WIKI moja tangu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, atangaze matokeo ya darasa la saba...
Wadau habari za leo?
Mimi natafuta vitabu vya hadithi vile vya zamani; nataka vya kununua. Kama kuna mdau hapa anafahamu wapi naweza kuvipata tafadhali nijulishe kwa PM.
Vitabu vifiuatavyo:-...
Kutokana na Serikali kuwadharau Walimu, Kila mwalimu ajiunge na sera inayoitwa FUKAMA yani FUNDISHA KULINGANA NA MALIPO, mda unaobaki kafanye shughuli zako.
jaman katika pitapita yangu ya hapa na pale nimekutana na kitu ambacho ama kwa hakika ni msaada mkubwa kwa tatizo la mikopo ya kusomea elimu ya juu hapa nchini. Kinacho niuma zaidi ni kwamba hii...
hivi ni kwanini siasa vyuoni inapigwa vita vikali? hali ya kuwa tunajua hatuwezi tenga siasa na maisha ya mtu/ na jamii kwa ujumla, naombeni jibu ili niweze pata cha kuanzia kukisema
Dear all JF members, InKOSAZANA'(s) and uBABA'(s)
Namshukuru Mungu kwa Ulinzi wake hadi sasa.
Namshukuru Thando (mke wangu) kwa kunisaidia kufasiri lugha wakati wote ninapokosea hapa JF. Watoto...
hivi kweli tunaweza pata mwalimu bora zaidi ya mwingine? Vigezo vipi vatatumika tumpate au huu ni usanii?, je hatuwezi thamini mchango wao wote na tuwalipe posho ya thamani ya mchango wao katika...
nina elimu ya kidato cha nne niliajiliwa kama mwalimu wa shule ya msingi mwaka 2008 baada ya kuona hailipi nikaachana nayo mwaka 2010.nikaamua kusafisha cheti bahati mbaya mwaka 2010,2011 matokeo...
Kwa muda mrefu sasa vyombo vya habari nchini Tanzania, vimekuwa vikiwataja ndugu zetu walio zaliwa na changamoto ya ukosefu wa melanini mwilini na uono hafifu " ALBINO "...
Wakuu,hivi unapokua unafanya haya maswali ya trial balance afu swali linagoma kubalance,kuna haja ya kufungua suspense account au ndio inakuaje wajameni?
kwel bodi ya mikopo tanzania inaendeshwa kwa ubabaishaji!ni hivi unapewa bum la kwanza then wanakuja na sababu bum la pili kuwa information zako zimekosewa!ukidadis zaidi wanadai kuwa kosa ni...
Nimekutana na tangazo hili la kazi ya Computer Engineer, lakini namba ya simu ili kuipata hiyo kazi ni sharti upige kwanza simu, na namba ya hiyo simu imeandikwa kimafumbo. Nami niko huku shamba...