Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kushuka kiwango cha Elimu na mazingira mabovu ya Elimu,Je serikali haijui uendeshwaji wa taasisi za elimu au AKILI NDOGO kuongoza AKILI KUBWA?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
RUNGU la Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo limewashukia wakuu saba wa shule za msingi wilayani hapa kwa kupewa adhabu za kuteremshwa vyeo baada ya shule zao kujihusisha na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku chache zilizopita nimeona rank za vyuo, kwanza zilianza zile za Africa kwa ujumla, baadae nimeona Tanzania, baadhi ya vyuo vilivyotajwa kwa ubora n. UDSM UDOM MZUMBE IFM Mm nasoma...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
naomba kujua mahali kilipo chuo hiki kilipo kwa hapa tanzania, au mwenye website yao naomba anipatie plizz asanteni...............
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wanafunzi wa Tanzania wanaosoma Master na PhD nchini Ujerumani kwa ufadhili wa Wizara ya Elimu (MoEVT) Tanzania na Exchange Program (DAAD) ya Ujerumani mpaka sasa hawajatumiwa hela ya kujikimu ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani maneno ya Mkumbo ni sahihi mnasemaje wakuu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tafadhali sana kiongozi wa sekta ya elimu Wanafuzni so sote wenye uwezo kutafuta ada tulipe ili tupewe vyeti, tunakuomba, kwa vile wewe ulitangaza na sasa utangaze tupewe vyeti vyetu UDOM, ili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu wa jukwaa la Elimu habari, Ningependa kuwasilisha matatizo yaliyowakumba wanafunzi wa St Joseph college tawi la Songea kwa kukatwa fedha yao ya kujikimu, jambo lililoleta mgogoro mkubwa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, Naomba kuuliza kama kuna aina tofauti za kozi za Post graduate Diploma in Education au iko mmoja tu? Nikisema aina mbalimbali naamanisha Post Graduate Diploma in Education with.....
0 Reactions
3 Replies
3K Views
WANAJF. Ningependa kuwaasa walio vyuoni kuelewa zaidi masomo kuliko kumeza kwani ukimaliza utatakiwa kuapply ulichokisoma kazini
0 Reactions
7 Replies
2K Views
hebu tazama tofauti hii ya kutisha ya viwango vya mishahara kwa watumishi wa umma wa tz cheti mwalimu 244400,afya cheti 472000,kilimo na mifugo 959400,sheria 63000 diploma mwalimu 325000,afya...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Nakuja kwenu wadau wa elimu katika kuweka wazi swala hili la aibu na ajabu kabisa. mwanzoni mwa mwaka huu kulikua na zoezi la ukaguzi wa watumishi zoezi ambalo liligusa pia kada ya elimu, katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimesoma gazeti la Habari Leo na kukuta habari ya wanafunzi 44 waliofeli la 7 wako sekondari huko Mkoani Katavi. Hawa wanafunzi walifeli la 7 kwa sababu hawana akili za darasani, leo hii waje...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
wakuu nisaidieni shule bora, ndugu yangu yuko Lindi anataka kumpeleka mtoto wake shule bora yenye taaluma na maadili mazuri hapo Lindi, asanteni sana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau leo asubuhi nimesikia kwenye radio baadhi ya wanafunzi wa sekondari moja ya kata wamekamatwa kwa makosa ya kuchoma nyumba ya mwalimu, kweli wanafunzi wa siku hizi wanathamini elimu???????
0 Reactions
1 Replies
870 Views
mwanafunzi wa SAUT mwaka wa kwanza kitivo cha Elimu..ameuwawa vibaya usiku wa kuamkia leo mtaa wa nyamalango, alikabwa roba na kutobolewa macho. Mwenyez Mungu amlaze mahala pema peponi
1 Reactions
58 Replies
7K Views
Imekuwa ni desturi yangu kulaani na kukemea taaluma ambazo viongozi wetu wameipata kwa kusomeshwa na kodi za wananchi wa nchi hii,lakini zikakosa mashiko na kuleta tija kwa mustakabali wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hivi tanzania kn vyuo vinapokea wanafunz wa masterz kwa january intake? vyuo gan na wana ccourse gani gani?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mti huu kivuli chake ni ofisi ya walimu (staff room) wa Shule ya Msingi Silabu iliyopo Wilaya ya Korogwe. Thehabari.com imelazimika kuitembelea tena shule hii ikiwa ni miezi sita baada ya...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Huku Chuo Kikuu cha Dodoma-UDOM kikiandamwa na kashfa ya wanafunzi wake wa kike kujiuza kwa ajili ya kujikimu,hali ndani ya Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam-UDSM si shwari. Wanafunzi wa UDSM sasa wapo...
0 Reactions
39 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…