Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Chuo kikuu cha dodoma kimefunguliwa th 22/10/ lkn ni ajabu mpk sasa hakina ratiba inayoeleweka ya masomo
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Top 100 Universities and Colleges in Africa by the 4icu.org University Web Ranking 1 University of Cape Town South Africa 2 Universiteit Stellenbosch South Africa 3 University of...
2 Reactions
106 Replies
13K Views
Yani chuo kikuu cha Dar es salaam wana mambo ya kizamani sana, watu tumemaliza chuo mwezi july pamoja na graduation mwezi uliopita, lakini inashangaza wanavyochukua muda kutupatia transcript zetu...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu, Nataka kujifunza mambo haya hapa: 1) MapINFO 2) GIS mapping - specifically on mapping water sources Ninatafuta mtaalamu aliyebobea anifundishe jinsi ya kutumia hizo applications...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimeondoa jina lake na chuo alichosoma...chuo kina jina kubwa sana na kipo hapa Dar DIRECTOR/MANAGER KAHAMA FM P.O BOX SHINYANGA TANZANIA DEAR SIR/ MADAM RE: REF...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
hello wana jf, naomba msaada kwa hili. nina certificate ya accountancy. je naweza kuapply diploma ya ualimu? ...,
0 Reactions
0 Replies
888 Views
Wadau wenzangu hebu tushauriane jambo...me nanona kwa upande wangu, masomo ya mathematics,english, kiswahili na history yangewekwa kama masomo ya lazima mpaka form six...au nyie mnaonaje?
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Jamani hivi hawa wanafunzi wanaokuwaga ma-t.o mitihani ya form six wanaishiaga wapi? Embu tutengeneze list yao hapa na sehem walizo,binafsi naanza na huyu 1.emily p.wangilisasi t.o 2004,pcm...
0 Reactions
18 Replies
10K Views
Guys!! Can You Please Tell me , How the students can interact with teachers and with other students in online education?
0 Reactions
0 Replies
810 Views
  • Closed
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na moja ya NGO inayojihusisha na masuala ya utafiti wa masuala ya elimu,yenye makao yake makuu mjini arusha- tanzania..matokeo ya uchunguzi wao yamebaini...
1 Reactions
76 Replies
6K Views
Option ipi ni rahc na marketable kati ya kwenda a level au kwenda college?,waungwana nisaidieni.
0 Reactions
37 Replies
11K Views
Nawapa utundu na maarifa ya namna ya ku save na kuto copy notes za aina yote. Kama unaweza nunua tablet kama ya toshiba, samsung or ipad ipo poa sana. Mimi ndo natumia sana hiyo. Nikitaka naenda...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Atimaye bummm la pili limetema
0 Reactions
43 Replies
4K Views
naomba mnisaidie the history of advertsing in tanzania
0 Reactions
2 Replies
659 Views
  • Poll Poll
ni kiangalia jamii yangu ya tanzania hii leo si oni kama kuna uwezekano wa kupata elimu inayo jitoshereza na kuweza kumpa kijana uwezo wa kupambanua mambo ktk ulimwengu huu wa utandawazi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakali hapa kuna swali tumebishana paka watu wakagombana wengine tukiishia kucheka,hii inaonyesha utofauti wa kimtizamo kwa wasomi muda mwingine hupelekea ugomvi.kwa kuwa kwa wanafunz wote mlioko...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Explain any 2 development theories on rural development for the LDC's
0 Reactions
0 Replies
659 Views
NI mwaka sasa tumekaa bila mkopo sasa loan board wameamua kutupa nasisi tule japo miaka miwili ijayo.si wengine ni wale continuing ambao tulikosa mkopo mwaka wa kwanza majina yetu yameingia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
msaada wadau kwa anayejua shule za msingi zinazorekebisha watoto watukutu!
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Ule mtindo wa watu kulala mzungu wa nne,umewatokea puani ucku wa kuamkia leo baadhi ya wanachuo wa mwaka wa pili na wa kwanza pale SUA, Hii ni baada ya uongozi wa malazi (suasab) kuamua kupitisha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…