Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Hivi masters ya corporate management mzumbe na masters ya marketing mzumbe ipi ni nzuri??
0 Reactions
0 Replies
697 Views
  • Closed
Wakuu,nazipata huku niliko,Eti kuna Lecturer na wamefanyiwa vitendo visivyofaa kisa ni kufelisha wanachuo kwa makusudi.Poleni sana wahusika na hayo.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna hili la BAF VS BBA kwamba st johs wanafunzi wote wa busness wanasoma BBA mwaka wa kwanza na wapili semister ya kwanza then semister ya pili ndo wale wa BAF wanaanza kusomea BAF yao ndo kila...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba msaada wa simple Research Proposal title hata kama mtu anayo na research kamili yake sio mbaya nipate muongozo ...BA Education NB:I hate Copy and Paste
0 Reactions
38 Replies
11K Views
hebu tuweekane sawa kwa hili vyuo vyetu kenye top 100 in africa ni vichache sana na vikiwemo ni kimoja au viwili kwa miaka hii mitatu iliyopita kwa nini?
0 Reactions
0 Replies
775 Views
Kama ilivyo ada, maombi ya chuo hufanya kupitia TCU. Umeomba kozi zako vizuri umeomba na mkopo pia loan board. Mfano umeomba MD(udaktari) let say muhimbili ukapata na mkopo pia ukapata jina lako...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu mnao kuja SUA. Milango ipo wazi usajii umeanza. muhimu njoo na ada ya semester1 na michango mingine kama ilivyo kwenye web yao. kama una mkopo jua kiasi flani umesha lipiwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Je ndugu zangu kwa wale waliopungukiwa na pesa ya direct cost ni kweli no rejistration?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wadau,ningependa kupewa taarifa kuhusu kujiunga na Bima ya Afya je ni inatakiwa kujiunga kabla hujaenda chuo ama ukifika chuo ndio kuna utaratibu wa kujiunga huko?Maana kwenye website ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Paul Joseph Watson Infowars.com Students and parents at two San Antonio schools are in revolt over a program that forces kids to wear RFID tracking name tags which are used to pinpoint their...
0 Reactions
0 Replies
898 Views
kwa wazazi wote wanaopenda watoto wawo kupata elimu uganda, angalieni "syntax uganda" kwenye facebook kwa maelezo zaidi.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauliza wakuu, Wapi naweza pata shortcourse on Banking Risk Operations, iwe nchi yeyote in Southern Africa. Asanteni.
0 Reactions
0 Replies
769 Views
Julius Kambarage Nyerere Quotes A Selection of Quotes by Julius Kambarage Nyerere "You don't have to be a Communist to see that China has a lot to teach us in development. The fact that they have...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Vuta-Nikuvute, Tunaomba updates za kile kilichojadiliwa UDSM kati ya Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Mukandala na Wafanyakazi wa UDSM kuhusu utata wa mishahara yao. Nakumbuka ulitufahamisha kwamba leo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wale wote mliochaguliwa mu wameishatoa allocation for accomodations xo angalieni mapema kama jina halipo jipange kulipa off campus maana ni gharama....na pia wametoa unatakiwa kulipa kiac gan kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
tetezi za chini ya kapet zinasema kutokana na ajira kuwa kikwazo na kuendelea kuongezeka kwa wahitimu wa elimu ya juu mitaani na taluma zao na kutaka jiajiri ila hawana mitaji pia kila siku...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndio kwa mara ya kwanza naenda kuanza masomo ya chuo, ukweli kwanza nahitaji msaada mkubwa kutoka kwa yeyote ambaye ana uzoefu na maisha ya chuo ili niweze kutimiza malengo yangu nilio jiwekea...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Unapenda dezo dezooo ee mama wee yatakushinda
0 Reactions
14 Replies
2K Views
..........Katika wiki ya Kwanza hapa Chuo kikuu Cha Dar Es Salaam kama wanavyoita kwa lugha ya Kiingereza "ORIENTATION WEEK" Wakufunzi mbalimbali walipewa muda wa kutoa nasaha mbalimbali kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu ni roles zipi anakuwa nazo mhasibu mwenye ngazi ya diploma iwapo ameajiriwa ktk kanisa?Example books ambazo atatakiwa kumaintain au accounting software used..Naomba kuwasilisha..!
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…