Najua vijana wangu macho yote yako kwa HESLB mkisubiri % za mikopo, nataka kuwajuza kua kilicho kua kikisubiliwa ni zoezi la wale walio kosea kujaza form za mikopo ambapo zoezi hilo limeisha...
Habari zenu wasomi?
Huwa cku ya graduation inakuwa cku ya furaha bahada ya kumaliza battle ya muda mrefu,migomo,kukusa ela ya msoc,n.k machungu huishia ktk cku hiyo.ILA angalia graduation isije...
Wapendwa mpaka hapa nlipo ma2maini yangu ya kuendelea na chuo yamekata,kutokana na kuona kwenye profile nimeadmited chuo flan lakn jina halipo kwenye web ya chuo,nimesumbuka kuwapigia chuoni...
Ni masikitiko makubwa kwamba mpaka leo hakuna taarifa ni kwa nini mishahara hapa UDSM main campus hakuna. Wenzetu UDOM, SUA, MU, ARU vipi na ninyi bado????
UNIVERSITY OF DODOMA
DEPARTMENT OF STATISTICS
SHORT COURSE ANNOUNCEMENT ON DATA PROCESSING AND ANALYSIS
(To be conducted in MWANZA)
The Department of Statistics, School of Mathematical...
Mimi nimengiwa UDOM kujiunga first year this year BSc in Petroleum Engineering. Naomba kufahamu hivi petroleum Engineering at UDOM ilianzishwa mwaka gani hii kozi. Pia ningependa kujua zaidi...
haya wale Watakatifu wa Yohana wote mliochaguliwa ingieni kwenye website mpate orodha nzima na maelekezo yote muhimu, shime mjiandae tar. 8 october tukaanze kula kitabu.
HONGERENI SANA.:flypig:
Ndugu napenda niulize kwa wenye ufahamu kuhusu hili,.
Hivi kuna matumaini yoyote ya kupata mkopo kwa wanafunzi waliosomea masomo ya biashara na arts yaani EGM,HGE.ECA na HGL,HKL,HGK,KLF...
Katika kudhihirisha ule usemi wa "Huwezi kushindana na Serikali" tangu jana kuna zoezi la kuhakiki vyeti (academic) kwa walimu wa shule za msingi na sekondari za hapa jijini Mwanza. Wakaguzi...
NATAMANI KUONGEA UKWELI ILA NAHOFU KUNA WATU WATANICHUKIA HUMU NDANI
HEBU ANGALIA MAISHA YA HUYU KIJANA MWENZETU KUTOKA MOSHI VIJIJINI AMBAYE ALIKUWA NI MWANAFUNZI MWENZETU KATIKA CHUO CHA...
Asaalam wanajf..... Kuna best yangu kachaguliwa PR ila anataka kuchange kwenda HR ila mi nimemshauri asichange ,,,,, vipi km ni wewe ungemshauri vipi?????
USHUHUDA ULIONITOA CHOZI MBELE YA AKADAMNASI.........SOMA ILA USILIE
NAIKUMBUKA HII SIKU AMBAYO MWANAUME NILITOKWA NA CHOZI BAADA YA KUPATA USHUHUDA HUU KUTOKA KWA MDAU NINAYEMJUA KABISA NA...
Hello wanaJF!Nnaomba kujua utaratibu wa udahili na ufadhili kwa wale walio'apply' kwaajili ya masters' na phd katika chuo /taasisi ya teknolojia ya MANDELA kule ARUSHA!