Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

msaada jaman kwa yeyote anaejua namba ya sim ya tcu!!!msaada please!!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
UDOM....AFWATILIE, tena AHOJI WANAFUNZI kama kweli waligoma kusaini vitabu vya majina kupewa mikopo..yeye mwenyewe, achukue sampo ya walionyimwa vyeti.:director: wenzenu bodi na chuo wanaubiri...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Closed
Sheikh mkuu wa Tanzania, Sheikh issa Bin Shabani Simba, akiwahutubia waumini wa dini ya kiislam na wadau wa elimu, waliohudhuria harambee ya kuchangia fedha kwa ajili ya ujenzi wa bweni la...
0 Reactions
120 Replies
15K Views
Wanabodi hasa mliopitia FTC Nina mdogo wangu ambaye alihitimu FTC pale DIT course ya highway engineering na akapata B moja, C tatu, D moja na F moja, ni muda kitambo tangu ahitimu na alishindwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu hatimae Ardhi wamevunja ukimya tembelea webu yao ujionee. Ahsanteni.
2 Reactions
34 Replies
11K Views
Our education must be hands-on oriented for workplace readiness. this issues of cramming does not help our education system
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenye kujua inakopatikana orodha ya wanafunzi waliochaguliwa na TCU kwenda Mzumbe University tafadhali atupashe.
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Cbe
jamani CBE hawaja achia bado.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
jamani wana jf iyo kozi nimeiomba hapo IFM vipi iyo kozi inalipa kwenye ajira? na ina salari ya ukweli? vp kujiajiri?
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Follow this link for results: http://tumaini.ac.tz/index.php/component/content/article/1-news/35-selection-results-for-academic-year-20122013
0 Reactions
7 Replies
4K Views
kwa wenzangu tuliona tatizo ktk fomu za bodi ya mkopo nmekosa pcha ya mfadhil na signature wanavosema naipata wapi fomu mpya au nafanya nn??naomben msaada wadau asanteni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
East Africa Herald: Beyond the colonised, neoliberal university
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nenda kwenye website ya st Francis kitu kipo live
0 Reactions
13 Replies
5K Views
hello, Wote plz nisaidien kama kuna mtu ana Post za Ardhi, na Muhimbili
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Wakuu habari,hv inawezekana kama mtu amechaguliwa C.B.E ya dodoma akaomba kuhamia C.B.E ya dar,natanguliza shukrani.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana Jf. Katika kuonesha kwamba walimu tumechoshwa na kupuuzwa na serikali sasa tumeamua kutumia Silaha ya mwisho ili matokeo yake iwe funzo kwa serikali hii dhaifu kama msg inavyosomeka hapa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
mbona kwenye profile nyingine kama ya rafiki yangu kunazo selections zote alizochagua kwangu hamna kitu kama hicho nashindwa kuelewa tcu wanamaanisha nini kwa ambao selection status zetu hazipo...
0 Reactions
78 Replies
7K Views
Kwanza kabisa nawaomba radhi kwa kuweka kitu tofauti na maudhui ya jukwaa, lakini imenibidi kufanya hivi ili kuokoa jukwaa letu tukufu. Siku za hivi karibuni wameibuka wadau ambao wanamlengo wa...
3 Reactions
46 Replies
4K Views
jamani tumaini university ya dar es salaam bado hawajatoa waliochaguliwa/ kuna mdogo wangu kwenye majina ya waiokosa tcu hayupo vyuo vingine nimeangalia hayupo sasa bado tumaini ya dar . ndio...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…