Sorry members,
Am in serious need of help on how to collect research data from the field because i know nothing on that and am supposed to do that. please i ask for a very serious help on that...
Napenda kuuliza kama kweli wizara ya elimu imetoa fursa ya pili kwa wale ambao hawakuchaguliwa ktk level ya Stashahada (vyuo vya ualimu) kufanya tena application.
Ninasema hivyo ni kiwa na maana kuwa uelewa wa mambo mengi ni kitu muhimu sana kwa binadamu tena katika zama hizi za utandawazi.Watanzania wenzako,naomba tuwe na jitihada za kujifunza mambo...
Samahani kwa wale watakaodhani nimeiweka hii mada sehemu isiyohusika. ukweli ni kwamba wingi wa wanafunzi elimu ya juu ndiyo kusogea kwa mazishi ya sisiem, uanaweza usielewe ninamaanisha nini...
Huu ni ujumbe wao unaosambazwa kwa kasi sana kwenye mitandao na simu baada ya Serikali kutupilia mbali mdai yao ya msingi:
"Ndugu Mwalimu, katika somo au masomo yako hakikisha humwandai...
Wadau habari za Asubuhi na poleni na mihangaiko ya maisha ya kila siku,
mwenzenu naombeni msaada kwa yeyote yule anayejua kuhusu mitihani ya TOEFL, nasikia inafanyika UDSM so nataka kujua ada yake...
Dodoma SOME 176 primary and secondary school heads have been demoted for their role in examinations cheating, the Minister for Education and Vocational Training, Dr Shukuru Kawambwa, has told...
Migomo, migomo, migomo ya walimu! Eti kuna mwalimu anagomemea sh. 250,000 kwa mwezi, kwani huyu mwalimu anayelipwa mshahara huu anazo sifa gani za kulipipwa zaidi?
Yeye ni form 1V division IV...
Hapo Novemba mwaka jana Higher Education Students Loans Board Act ilirekebishwa katika Section 20 na ikawa inasomeka hivi "Deduct 8% of the basic salary for employee who is a loan beneficiary and...
jaman ni nan anaijua vizur automobile engneering aniambie ukishaisoma unaweza fanya kazi gani? Ina maslahi? Unasoma nini hasa? Ni hayo tu, nielimisheni
I stumbled, i bumped into, ,collided with ,guess it was written, with men of scriptures, oh me So simple, so calm in a turbulent world. It happened -flashback to Steven Kumalo Anglican priest...
Hapo Novemba mwaka jana Higher Education Students Loans Board Act ilirekebishwa katika Section 20 na ikawa inasomeka hivi "Deduct 8% of the basic salary for employee who is a loan beneficiary and...