Habari zenu wanajamvini, mie nina dogo wangu mmoja alikuwa anapply via tcu sasa ikawa inamgome sana akaenda tcu walikuwa pale viwanja vya posta wakajaribu nae wakaona kweli inagoma alikuwa...
Oya wakuu mnaosoma udsm,naomba kuuliza,ikiwa mtu umechaguliwa ud,ile admission letter utatumiwa kwa njia ya posta au utaikuta chuo,na vipi kuhusu hostel,utajuaje kama umepangwa main cumpus au...
wakuu.....
naobeni msaada wenu wakubwa, mimi nimeapply katika chuo cha N.I.T, tafadhalini kwa ambaye anafahamu kama selection zimetoka na anazo karibu naombeni sana azitupie humu!
ni ombi wakubwa!
Wanajamvi naomba mwenye wasifu wa katibu wa uenezi na itikadi wa CCM Bw. Nape Mnauye anirushie.Maana nimekuwa nikifuatilia hoja na kauli zake nashindwa kumwelewa kabisa, ni porojo tu. Msaada please.
Ingia web ya TCU na ulog in kwenye account yako.Nenda kwenye profile yako uclick hapo.Profile ikifunguka nenda kaclick kwenye application 2nd round.Baada ya kuclick itakuja option ya add code ya...
Welcome to HESLB
NOTICE TO 2012/13 LOAN APPLICANTS During the exercise of processing 2012/13 loan application forms the Board has identified loan applications which are...
FANYA HIVI KUJUA KAMA UMEPETA CHUO AU LA!
Dear Applicants, The second round for the admission into Central Admission System is officially opened from 13th August, 2012...
jamani wadau wenzangu kila kazi ina mamlaka husika hivyo naomba huu uongo mdogo kila mtu anaotoa tuuache kwanza tuwaze mabo mengine kazi ya kuweka majina ya wanaoenda chuo ni ya TCU peke yao...
Welcome to HESLB NOTICE TO 2012/13 LOAN APPLICANTS
During the exercise of processing 2012/13 loan application forms the Board has identified loan applications which are missing some vital...
Kwa kuwa sina uhakika na uwezo wa cwt wa kuwalipa waalimu wakiwa katika mgomo,na kwa kuwa sheria za nchi zinasema kuwa ukifanya kazi kuanzia tarehe moja mpaka 15 unastahili kupewa mshahara,hivyo...
jameni nashindwa kuelewa kuhusiana na mafanikio wanayoyapata wanafunzi wetu. serikali yetu naona kama haiko makini katika kuwatambua mchango wa vijana hawa. miaka fulani iliyopita wanafunzi hawa...
wadau naombeni msaada. jina langu limeonekana katina mtandao wa bodi ya mikopo kwamba sikupeleka birth certificate lakini nilipeleka. nifanyeje wakuu ili niweze kupata mkopo.naombeni msaada wakuu...
Jamani naomba kunukuu hii post "Ingia web ya TCU na ulog in kwenye account yako.Nenda kwenye profile yako uclick hapo.Profile ikifunguka nenda kaclick kwenye application 2nd round.Baada ya...
embu tembelea akaunti yako ya tcu kuna ujumbe mpya.! Bt mimi nimeshangaa sana kukuta hili neno not admitted !! Ooh my God kama kuna yeyote mwenye uwo ujumbe aniambie !! Hapa nilipo nahisi kufa