Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

kwa wale waliokuwa wameomba nafasi katika chuo cha uongozi wa mahakama lushoto kwenye ngazi ya Diploma na Certificate tayari wametoa selection zao.
0 Reactions
2 Replies
12K Views
Kwa wale wanaohitaji kujua matokeo yao au ya ndugu jamaa na marafiki anagalia hapa www.necta.go.tz
1 Reactions
2 Replies
16K Views
naona tcu mambo yameshakamilika kama hauamini jaribu kutembelea website ya cuhas kwa uhakika zaidi coz wamesha weka majina ya selected aplicants so kaeni mkao wa kula kuanzia next week
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau, taarifa toka kwa mdau wa wizara ya elimu zinaeleza kuwa anytime kama walimu wataendelea kugoma, huenda serikali sikivu ikatangaza ajira za ualimu kwa watu wenye shahada zisizo za ualimu...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Kama rais alikua na hukumu ya kesi tangu jana ina maana yy yuko juu ya sheria coz yale yaliyoamuliwa leo jana alishasema mf kurudi kazini na kufidia muda uliopotezwa, notisi kucheleweshwa nk hivi...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
jamani nifundisheni jins ya kudownload pdf
0 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Closed
ame Lucy Mayenga Surname Mayenga First Names Lucy Thomas Alternate Name Title Country of Birth Tanzania Positions From To Organisation Position 2005 Special Womens Seats...
1 Reactions
0 Replies
10K Views
Salam wana jf habari nilizozipata kutoka ndani ya ofisi za jiji ni kwamba walimu wote walioshiriki mgomo wanaondolewa kwenye kazi kukusanya takwimu,chanzo kinasema agizo hilo limetolewa na mkuu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Juzi nilipo log in my account nilikuta kozi moja not eligible leo nilipo log in ile ya kwanza imekuwa eligible but ya pili na ya tatu zimekuwa not eligible. Kwa anaefahamu huwa wanamaanisha nini...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa waliopata matatizo wakati wanafungua majina kwenye website ya moevt sasa wanaweza kutazama majina yao ndani ya hizi Attachment. Heshima mbele!
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hivi jamani Tcu kuna nini na mtambo wao?Maana wadau wanakutana kesho kufanya selection lakini program zangu zinasema check in progress tokea majuzi,wenzangu kuna mabadiliko yoyote?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Acha kuzubaa,kama last week kuna moja ya kozi yako iligeuka na kuwa not eligible,basi acha kumbweambwea,ndio tayari hvo ushatupwa kwenye hicho chuo. Source:mimi mwenyewe jana niliongea na IT...
0 Reactions
80 Replies
7K Views
Makerere University in Kampala is East Africa's oldest institution of higher learning. FILE | AFRICA REVIEW By ABDU KIYAGA | Thursday, August 2, 2012 Ugandan universities have continued a steady...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
warizi wa elimu how is it sounds to your ears when you hear the sounds of Innocent children claiming for education as their rights. too sad how is it sounds to your ears when you hear the...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
THE WONDERS OF SCIENCE 1 x 8 + 1 = 9 12 x 8 + 2 = 98 123 x 8 + 3 = 987 1234 x 8 + 4 = 9876 12345 x 8 + 5 = 98765 123456 x 8 + 6 = 987654 1234567 x 8 + 7 = 9876543 12345678 x 8 + 8 =...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa yeyote mwenye majina ya ngazi ya cheti au diploma au yote kwa pamoja tuwekeeni hapa please msaada tafadhari
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakubwa, hivi certificate ikichanika , mtu anaweza kufanya nini ili apate mpya? je, anaweza kupeleka ile iliyochanika akapata nyingine, na je chukulia mfano umeibiwa begi lenye vyeti vyote, au...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari, Naomba ufafanuzi kwa wale waelewa zaidi. Je katika kupata kazi na "kuthaminika" kielimu kuna tofauti anayopewa mtu aliesoma on campus na yule aliyechukua online course provided chuo ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
matokeo ya mgogoro wa walimu na serikali yamenishangaza sana. unaweza ukanigumdua kwa kitu kidogo tu! ninatabia ya kusema ije itokee waingeleza wachukue Tanganyika yao, tujue tunatawaliwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
serikali inajivunia kufaulisha kutokana na wanafunzi kufanya vizuri kwenye masomo hayo sababu wanafunzi wanabebwa na prac,sasa jamani kwa walimu wa masomo hayo fanyeni kama mmekosea changanyeni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…