Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jamani nimesikia mtaani kwamba Tcu wanaweza kukupanga ktk kozi zaidi ya moja eti hivi ni kweli jambo hili? Kwa anae fahamu please anijuvye
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Chalii amenijuza kuwa Mkuu wa Wilaya Korogwe ameingia darasani kufundisha hesabu za kujumlisha darasa la saba na maumbo darasa la sita kufuatia mgomo wa walimu. Mkuu huyo aliingia kupiga nondo...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Wataalam wa uchumi hebu tusaidieni nini hasa maana ya ongezeko la mshahara. Napata wasiwasi sana na hizi nyongeza za mishahara kwa serikali kila mwaka. uhusiano wa ongezeko la mishahara na kupanda...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
mbona haifunguki? au ndo kwanza mtuchakachue jamani please yafungueni hayo majina,SWAUM KALI:A S cry:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nani anayo au anaijua cv ya mwanahabari nguli hapa Tanzania Bwana Saed Kubenea??? Naomba kama kuna mwenzetu mmoja humu ndani anayo ama anaweza kuipataatuwekee ili tumfahamu shujaa wetu huyu...
0 Reactions
88 Replies
14K Views
tcu mambo yashaiva nadhani ni kuyatoa tu..ni mwendo kama wa wiki 1 au 2 hivi(source ni TCU)..BE READY!!!!
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Nimekusikia bungeni waziri ukisema mtajitahidi kufanya kila linalowezekana kupata wataalamu wa Counselling Kwa taarifa yako baadhi ya walimu wamesomea unasihi yaani counselling mimi nikiwa mmoja...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Bwana Kiwia, Afisa elimu sekondari wa Korogwe vijijini apandishwa kizimbani kwa ulevi wakati wa kazi cheki hapa :Ofisa elimu wilaya adakwa akinywa pombe saa za kazi
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mashaka Kibaya,Korogwe WAKATI mgomo wa walimu ukiendelea kufukuta nchi nzima na Serikali ikijaribu kuuzima, Ofisa Elimu Sekondari wa Halmashauri ya Korogwe, anadaiwa kukamatwa kwa tuhuma za kunywa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hi Wana jamvi, nimeperuzi website ya ministry of education na kutazama post za ualimu! Wapo wengi ambao majina hayaonekani/hawakuchaguliwa. Je, kuna utaratibu wa second selection?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Walioomba nafasi za mafunzo ya ualimu kwa mwaka huu, majina yametoka na unaweza kutembelea website ya Wizara ya elimu: www.moevt.go.tz
1 Reactions
23 Replies
7K Views
kunajamaa yangu alipata matokeo haya1.History C 2.Kiswahil D 3.Language D 4.General Study -failed haya ni matokeo ya A-level.anaweza aka apply course ipi na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Unafki na uwoga miongon mwa walimu,kupata suluhu itakua ni ndoto,mmeambiwa msiende kwenye vituo vya kaz,mnakwenda,na kura ya kuunga mgomo mlipiga bila shuruti...je kwa namna hii tutafika kwel??
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Napata shida sana kutafuta chanzo cha kushuka kwa ubora wa elimu nchini hususani pale ambapo unakuta kuna wanafunzi wanahitimu darasa la saba bila kujua kusoma wala kuandika. kwa misingi hiyo je...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika utafiti nilioufanya kuanzia Julai 31 hadi sasa nimegundua makundi matatu ya walimu waliokataa kuunga mkono mgomo na sababu zao. KUNDI la kwanza ni la walimu walioajiriwa Februari 2012. Hawa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
kwa kuwa aliahidi kuboresha elimu, na kama ni kweli alifuta zile posho za kufundishia wakati ule, basi walimu wanastahili kugoma wakati wake, na kwa kuwa baadhi ya mawaziri wanajibu hoja...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habar wana jf? Uongoz wa chuo cha mahakama lushoto (ija) wamerusha majina hewan kwa wale walioomba kujiunga na mafunzo ya uongozi wa mahakama ktk koz za certificate na diploma. Majina yao...
0 Reactions
0 Replies
9K Views
Salam kwenu wana jamvi hivi kweli uzalendo tuliofundishwa na mwalimu Nyerere,mapendo tunayofundishwa katika dini zetu tofauti hivi ni haki m2 unamwacha mwenzako anaugua mpaka anakata roho et...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wana JF mtokeo ya masters udsm yametoka na yanapatikana kwenye website yao, please mwenye matokeo MA economics ayaweke hapa maana mimi kila nikijaribu kudownload nashindwa. Natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani naomba kuwauliza, me nimeomba kozi kupitia Tcu but ktk uwombaji nilijaziwa na kaka yangu, my fist kozi kiukweli sijapendezewa nayo. Je ikitokea nimechaguliwa kozi hiyo nina uwezo wa...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…