Hodihodi jamani katika uwanda wa elimu.Naombeni kuuliza swali iliniweze kumjibu yule aliye niswalika swali,HIVI JAMANI MWANAUME MWENYE TEST COUSE MOJA UWEZA KUMSABABISHIA MWANAMKE...
Mimi nimemaliza form six mwaka huu na nimepata division 3 ya points 17 nina E ya geography,E ya Economics na F ya Math's nauliza kwamba naweza kupata chuo kwa kiwango hicho cha ufaulu
Naomba msaada wa kusaidiwa kueleweshwa ni jinsi gani naweza kuusajiri umoja/chama cha wakazi wa eneo furani.Umoja huu unahusika na shughuli za kimaendeleo ya kiuchumi na kusaidiana katika shida na...
Naamini imefika wakati nchi yetu ianzishe Televisheni Maalum ya Elimu yenye Channels zaidi ya Tano kwa ajili ya kutoa elimu bora kuanzia ngazi ya shule za msingi mpaka chuo kikuu.
Mkuu kwanza nakupongeza sana kwa kupiga mzigo wa ukweli. kwa kipindi kifupi tangu ufike huku tumekuona kuwa wewe ni jembe haswa. lakini cha kinachotusikitisha ni kuwa unatumia cheo chako vibaya...
Wadau naomba mnisaidie info juu ya modality za applications wizara ya mifugo juu ya kozi ya veterinary (kwa form four leavres),how to apply,na je zinatangazwa lini nafasi za maombi,qualifications...
dear friends two years ago i had a dream to study law after completing my high school studies, but
recently acsee results were not as much as i expected i got div 3 17 so i realy want to study...
Nimefanikiwa ku apply kwa system ya TCU, mimi ni diploma leaver, lakini nikifungua myprofile kilakitu kipo safi ila diploma index number yangu haionekani hapo, je kuna yoyote aliye apply kwa...
Hi,
Nataka ni nunue NETWORK ROUTER kwa matumizi ya nyumbani., Lakini hizi router nyingi zinatumia ethernet wired kutoka kwa ISP(Internet service provider). Nilikuwa nataka kujua kama kuna...
Mtaani kuna ubishi kuhusu hii kozi ya GEOLOGY kwamba EGM hawezi kuisomea ni PCM tu embu funguka baadhi wanadai EGM anaweza wengine wanakata embu ni fumbue ni vigezo gani vinatumika hapo?,
karibu
WanaJF habarini za mida,
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2012 na matokeo yangu yako hivi; CHEMISTRY-E,BIOLOGY-E,GEOGRAPHY-E na B/MATH-S.
Kutokana na hizo maksi nilizopata hapo juu ni kozi gani...
Sijui aliye kuteua ametumia vigezo gani.
Lakini hukustahili kurudi katika baraza la mawaziri hili.
Umeshindwa kabisa kuongoza Elimu, umeshindwa hata kuhamasisha angalau watoto, wajukuu zetu...
Kwa waliojaribu kuitumia CAS wanaelewa kero mbali mbali za hii sytem.Kwa mfano kwenye profile yako baadhi ya taarifa hazionekani licha ya kuwa umeiziingiza kwa usahii kabisa,au unaweza kuclik...