Wana Jf hongereni kwa ushauri wenu.
Naomba mnisaidie natamani sana nikafanyie kazi botswana. Mwezi wa 6 mwaka huu namalizia digrii ya ualimu.(bachelor of education in arts)
please nambieni...
Hivi jamani mmekumbana na kero ya CAS kama mimi?Unaingiza taarifa zako alafu ukija kwenye profile yako hazionekani na hata ukitaka kubadilisha program uliochagua mwanzoni, system inagoma na...
Kama silabuse za TZ zisipo hakikiwa bado mtegemee maisha kuendelea kuwa magumu lecture anafundisha masaa manne darasan anacho kifundisha hakin reality na maisha nje ya darasa mifano mingi ya ulaya...
WADAU NI HIVI, sisi ambao tulipata vyuo mwaka jan tukaambiwa tuende vyuoni tutapatiwa mkopo huko ni jambo la kusikitisha kwamba tulidanganywa lakini bado kama haitoshi jamaa wakatuchukulia tena...
Wadau habari zenu? Je ni nani amesha-apply kwa njia ya CAS ya TCU halafu yeye antumia equivalent qualification ya diploma? Kuna jambo linanisumbua katika ku-register, ninaweka registration number...
Kuna baadhi ya watu wameniambia,zile minimum admission points ambazo kila chuo imejiwekea,hazizingatiwi sana na vyuo husika ikiwa vyuo hivyo havijapata watu wa kutosha kwenye kila...
Shule ya Sekondari ya Dodoma Central imefungiwa na Serikali,sababu za kuifungia ni kukosa vigezo vya kuwa shule ya sekondari baada ya Wakaguz wa Elim kuikagua na kujiridhisha kuwa haiana viwango...
Kwa mwenye uwakika naomba ikiwezekana nipate contact, nimepata DIV-2.12 JE WENYEKUJUA NAWEZA KUAPPLY LAW UDSM NA KUPATA? Km itashindikana naombeni msaada katika kozi nyingine zitakazo nipeleka UDSM
Acheni usumbufu wakuulizia habari za admission kila mwaka wanaupdate new information kuhusu vyuo kama mmeweza kuingia huku kwa nini mshindwe panapowahusu
Naombeni wadau wa jukwaa la elimu
mnijuze kama hv vyuo vya Livestock Training Insitute (LITI)
kama kuna hata kimoja wapo kimeishatoa nafasi za masomo
au wanasubili wizarani?
TAR.4/5/2012.TUME YA UCHAGUZI 2012 CHUO KIKUU MWENGE-MOSHI IMEFANYA SCREENING YA AWALI KWA WAGOMBEA URAIS NA UMAKAMU.WAFUATAO WALIKIDHI VIGEZO VYA TUME YA UCHAGUZI.NA TAR.5/5/2012 JANA UTAWALA...
Habari wanaJF,
Kwa mtu mwenye USLME Lecture Notes Video Step 2 and 3 tafadhali naomba ajitokeze kwani nimekuwa nikizitafuta kwa muda mrefu sana.
Mimi ninazo Videos za Step 1 tu, so kama kuna mtu...
Wanafunzi wa
Chuo cha Mkwawa wafunga njia
maeneo hayo wakidai pesa zao
(Boom) vurugu zinaendelea na
wamempiga FFU mmoja mpaka
muda
huu taarifa inakuja hapa studio
za radio free afrika hali...
TCU wanaposema kwa wale walimaliza diploma wawe wamefauli kwa kiwango B as minimum, wanamaanisha nini? ufafanuzi tafadhari, maana diploma kuna first, upper-second,lower second na pass sasa B ni...
Katika hali ya kushangaza kwa mara nyingine tena wanafunzi wa chuo kikuu cha mt Augustine mwanza wameanza kuishi maisha magumu kutokana na pesa ya loan board kuchelewa kufika. Ni takribani wiki...