Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Mwanafunzi kakaa chuo cha uhasibu Arusha miaka mitatu. Anasoma IT (imformation technology). Amemaliza miaka mitatu anakutana na computer anaishangaa! hee hii ndiyo SATA! mama yangu kumbe IDE ndiyo...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Siku za hivi karibuni, kumeibuka hisia kuwa India si mahala salama pa kusoma kwa watanzania.. Hisia hizi zimetokana na taarifa iliyotokea eneo la Bangalore, India ambapo kuna wanafunzi wa...
2 Reactions
22 Replies
6K Views
Great thinkers naombeni ushauri wenu kuhusiana na hili,tangu nikiwa o level nilipanga nitakuja kusomea maswala ya land(bachelor of sciense in land management and valuation pale chuo kikuu Ardhi)...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nina principle mbili na s moja. Nataka kusoma degree kwa kujilipia mwenyewe bila mkopo. Sababu naogopa kuaply kama nikikosa kuchaguliwa itabidi nisome diploma ndio maana nataka kujilipia degree...
0 Reactions
34 Replies
7K Views
Eti jamani brigde course ya st. Joseph university inachukua muda gani?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Pcb physcs-s chemi-s bio-e
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimesoma CBA na nimepata div 2 ya 10.. Je naweza kupata chanc muhimbil kwa faculty ya MD.? HELP WILL BE APPRECIATED
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Watanzania wenzangu naomba tusaidiane ktk hili,nina mdogo wangu kamaliza f4 na amepata 1v ya 28 anataka kujiunga na jeshi la polisi au magereza lakini hatujui huwa watu wanajiungaje kwani binafsi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau system ya TCU CAS imeanza kufanya kazi kwa kukubali user waliomaliza diploma kufanya registration kwa ajili ya elimu za juu, mimi nimemaliza diploma ucc na nimefanya usajili leo hii, lakini...
0 Reactions
1 Replies
915 Views
Jaman wadau kuna bachelor of education in economics pekee au lazima imeunganishwa na course nyingine! Kama mathematics?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Taifa limewatelekeza wanafuzi waliofeli mitihani yao bila kujua sababu gani wamefeli. Wakati nchi imepata uhuru darasa la nane alikuwa anapata kazi nzuri tuu leo ajira imekuwa ngumu hata kwa chuo...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Habari zenu kwa mpigo...ndugu yangu kapata division two ya point 12..ya HGE. anaweza kusoma course ipi na vipi kuhusu mkopo wa serikali anaweza pata?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanafunzi wa Chuo kikuu kishiriki cha Mkwawa (MUCE) leo wameendelea na mgomo wao wa kushinikiza uongozi ili walipwe hela zao za kujikimu ambazo zimecheleweshwa kwa zaidi ya wiki sasa. Shughuli za...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Hostel ni za shida sana, chumba bei ya chini laki 5, kwa semester si chini ya coz 9 labda uchaguliwe BASO, swala la kuandamana kudai haki sahau, vpindi ni mpaka jumamosi. Nawasilisha.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jmn naomben mnijurishe kama hii wizara wameishatoa nafasi za masomo au kama kuna mtu anafahamu chuo chochote cha mifugo na namna ya kupata form zao,!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ana dv 1.9 pcb je atapata muhimbili course ya pharmacy maana pale kuna competition kubwa wanahitaji watu 60 tu!
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Ni ya form 6 na yamekuja hv history D GEO D econ E Bam s g.s S je naweza chaguliwa? Facat zipi? Mkopo ?
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Habari zenu wana JF. Anayefahamu hostel yoyote ya wanafunzi wa sekondari maeneo ya karibu na kariakoo mpaka ilala (ukiondoa Al-haramain) anijuze tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Samahani nilipenda kujua kwa mtu aliefaulu form 4 kama ana uwezekano wa kuchukua diploma badala ya kwenda a level
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…