Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kuna umuhimu wa mtu mwenye Div III 15 yaani EEES kwenda kusoma remedial SAUT kwasababu ana cut off points 3.5?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni kozi ipi ambayo itawezesha mtu kupata ajira TRA ???
0 Reactions
3 Replies
921 Views
Matokeo yangu ni Economics E Gography E bt Maths F nihitaji kukuta rufaa kwa somo la maths vp kuhusu taratibu za ukataji wa rufaa
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nimepata "S" ECONOMICS,pia BAM nina "S" na O-level nilipata B.Math "C" nilichukua HGE nina II-12 kwamba Geog "C" na HSTRY "C" msaada wa mawayo yenu wana jamvi.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
au web ambayo naweza kuk-download freely,.msaada
0 Reactions
0 Replies
881 Views
Shule hii kongwe ipo Dodoma mjini imefungiwa rasmi baada ya kutotimiza vigezo. Akitoa ufafanuzi khsu uamuzi huo naibu waziri wa elimu bw Philipo Mulugo amesema shule haikidhi vigezo kwani...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naombeni Ufafanuzi Wadau... Link ya kwanza ya kuangalia matokeo ya ACSEE 2012 ni hii hapa http://utawala.udsm.ac.tz/form62012/Alevel.htm Link ya pili ya kuangalia matokeo ya ACSEE 2012 ni hii...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
nimemaliza 4m six nimepata div 3.17 ya hgl naipenda sana rulal development nataka nisome diploma naombeni mnisaidie vyuo vinavyotoa hiyo course na jinsi ya kuapply....asanteni wakuu
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Jamani nijulisheni ni lini application ztakua hewani?
1 Reactions
3 Replies
8K Views
Baada ya Management za vyoo vikuu (vilivyo vingi) kushinikizwa na serikali kuanza utamaduni wa kufukuza watu kiolela wanapodai haki zao eti wanasiasa na hadi sasa wengi bado wako nyumbani kutoka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu wangu wa kazi, huyu dogo anaweza kupata japo Diploma ya Ualimu chuo cha Serikali? Division IV-19 G/STUDIES-F PHYSICS-S CHEMISTRY-S BIOLOGY-F BAM-S
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Wakuu!!leo nilikua najaribu kuangalia matokeo ya hawa wadogo zetu wa kidato cha 6,nimeona kwenye zile shule maarufu kama marian girls,mzumbe,tabora boys,galanos,umbwe,tosamaganga,ilboru nk hakuna...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
SAMAHANI KWA USUMBUFU WANA JF JE kwa tokeo la PGM III-13 yaani GS-S PHY-E GEOG-D MATH-D NB:- O-LEVEL SIKU PIGA PAPER YA CHEMISTRY BUT NILIISOMA KAMA KAWAIDA JE NAWEZA PATA AERONAUTICS NA...
0 Reactions
2 Replies
829 Views
Tuna watu wamesoma, wana madigiriii kibao! Kazi zikitangazwa, hizo applications ukisoma, hadi raha maana kingereza kingiiiiii! Kinachoshangaza, "lugha" kwenye izo applications utadhani kuna mtu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
habari zenu?nauliza swali je div 3 ya point 17 unaweza uka join university?? Pls give ur suggestions.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Eti wadau mwenye info pls afunguke mana jamaa wapo kimya tu.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
national examinations council of tanzaniaacsee 2012 examination results s1291 pemba islamic college div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 12 div-iv = 27 fld = 43 cno sex candidate name aggt div...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nimejaribu kupitia thread nyingi za watu ambao wanaomba ushauri kuhusu,wanaweza kusoma nini Chuo Kikuu,na maswali mengine kama hayo. Nimegundua kwamba,watu wengi hawajasoma "Admissions Guidebook...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Tokeo ndo hilo.nina 3 ya 17 je nitapata chuo!au nifanyeje!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Licha ya Zanzibar kujikwamua kilemu. Lkn inaonekana kuna kikwazo kikubwa huko mbele Matokeo ya kidato 4 na kidato cha 6 ni wazi ni moja ya kikwazo kikubwa cha elimu Zanzibar Kwanini Baraza la...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…