Habari ndugu wa jf..
Hapa chuoni kwetu MZUMBE kuna mbunge wa viti maalum-CCM anatokea Singida, kwa bahati mbaya kila nikijaribu kujua jina lake nashindwa kulipata.
Kozi ya CHRM-certificate of...
Na Jimmy Mfuru
20th March 2012
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo
Wanafunzi 234 kati ya waliofaulu mtihani wa darasa la saba mwaka jana, na kuchaguliwa...
Jamani nimeprove tetesi hizi ambazo zimekuwa zikisemwa juu juu kuhusu chuo kikuu cha Tumaini kuwa kinaendeshwa kiundugu, kikabila na kidini zaidi. Watu wengine tunaonekana kama takataka tuu, mtu...
Chuo kikuu cha Dodoma hadi sasa tangu chuo kifunguliwe tarehe 03/03/2012,kwa semista ya pili hawajatoa pesa za kujikimu kwa wanafunzi na hakuna taarifa rasmi wanatoa lini.Kumbuka mwezi wa kwanza...
Mdogo wangu anataka kwenda advance naomba nizijue shule zinazofanya vizuri kwa sasa sanasana za Dar es salaam pamoja na ada zake if possible!
Thank u in advance.
Inasikitisha kuona kuwa tunaanza semista ya pili wiki ya pili sasa (udom) bila kuwa na chochote katika akaunti zetu kwa wale tunaoitegemea serikali kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HESLB)...
Mara nyingi waalimu wamekuwa wakilalamika kuonewa katika stahili zao. Kuna wakati walijitutumua kudai kwa msimamo wa nchi nzima. Lakini kwa aibu waliishia kurushiana viatu, mawe, viti...
ALIPOJITAMBUA hana baba wala mama, aliichukulia elimu kuwa tumaini na mkombozi pekee wa maisha yake. Hivi ndivyo Abubakar Rashid (16) mwanafunzi kinara wa masomo ya Sayansi aliyeshika nafasi ya...
Tanzania anger over red ribbon labels for HIV pupils
Pupils wearing ribbons are excused from chores like fetching water.
Campaigners in Tanzania have criticised some schools for...
Kama kweli kuna matatizo katika shule za msingi kwamba kuna matendo maovu yanatokea;inafaa Wizara ya Elimu ifanye utafiti kujua, siyo nanai nafanya haya mambo ya ovyo,isipokuwa kujua asilimia...
As French Republic supplies computers and TV sets to schools
A section of French language laboratory with modern computers supplied to Usagara Secondary School in Tanga Region by...
Wadau nimekuwa najiuliza jinsi ya kusoma masters bila kuwepo kwenye maeneo ya chuo inakuwaje. Kwa sabab mazingira niliyonayo mimi ni ya kujiajiri na nisingependa kupoteza muda wangu kwenye...
Kauli ya Katibu Mtendaji wa NECTA, Dr Rose Ndalichako, eti mitihani ya darasa la Saba kusahihishwa na machine, ziitwazo Optical Marker Reader (OMR) tuta succeed kweli? au because primary ni ya...
Nimepokea taarifa za msiba wa mwanafunzi wa chuo cha ualimu nachingwea aitwaye anna tuli mwaka wa kwanza (grade iiia) kilichotokea huko wilayani ruangwa-lindi alikokuwa akifanya mazoezi (teaching...
Hata mitaala ikibadilishwa namna gani, kama miundo mbinu itaendelea kuwa yenye hali kama hiyo inayoonyeshwa kwenye hicho kipande cha taarifa ya habari hapo chini, mabadiliko hayo yatakuwa ni kazi...