Wanajamvi naomba msaada kwa hii KOZI ambaye amewahi isoma Udsm
**Post graduate diploma in Monitoring and Evaluation...!(udsm)
Ambaya anadata zozote kuhusu hii cozi,jee haina mahesabu mahesabu,na...
Nipo hapa mwanza kwa muda wa wiki moja,mliopo Vyuo vya mwanza naombeni tuwasiliane, ntakua hapa mabatini.Nismsni kwa 0785144285.Ntafurahi sana kuonana nanyi.BRAVO bY SIR .......MY NICK NAME.
Nipo hapa Iringa , Pembezoni ya Shule yangu ya zamani Mkwawa , kuna Jengo wanaita Hall 6 linaungua , jengo hili ni hostel za wanawake , bado moto unawaka sana ! bila shaka litateketea Lote !
leo wanafunzi wa chuo kikuuu cha dodoma wanaounda organization inayojulikana kama udom chamber leo wametoa msaada wa vifaa vya usafi na mazingira katika shule ya sekondari...
habari wana jf! jamani nahtaji kujua utaratibu wa elimu ya uganda kwa 4m5 na 6' je wanatumia qualification gan kujiunga? na comb zao zipo vipi? na pia ningependa kujua mengine mengi kuhusu ubora...
Kwa wale walio appeal bodi ya mikopo na sikitika kuwaambia wale wa mwaka wa kwanza mlio nyimwa na kuambiwa ni NON PRIORITY sasa HESLB wanawaita ni UNSUCCESSFUL na wamenyimwa tena. kamakawaida...
Naombeni kuuliza wapendwa hivi ukipata kazi na payrol itoke baada ya muda uiache upate kazi nyingine je utakaporipoti kuta kuwa na tatizo lolote? je haitaleta usumbufu kwenye payrol?
Kwa wale wanafunzi wa St Augustine walioanza 2nd sem tangu tar 13 february msitegemee kupata boom hivi punde. Kuna tetesi ya kwamba yule jamaa Alex akishirikiana na baadhi ya viongozi wamedeposit...
Kuna taarifa muhimu kwaajili ya wanafunzi waliodahiliwa na tume ya vyuo vikuu mwaka jana lkn wakashindwa kujiunga na vyuo husika kutokana na sababu mbalimbali, mtembelee website ya TcU.
2. STASHAHADA YA UALIMU ELIMU MAALUM: MUDA WA MAFUNZO NI MIAKA 2
Mwombaji awe na sifa zifuatazo:
(a) Mwalimu mwenye Stashahada ya Ualimu fani ya Sayansi au Sayansi ya Jamii na uzoefu kazini...
As-Salamu Alaykum wana JF.
Wana jamvi wenzangu naomba msaada wenu wa kiushauri.
Kuna vijana walimaliza form four mwaka jana na matokeo yao yametoka mwaka huu, lakini kwa bahati mbaya wakafeli kwa...