Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

critically comment on the manifestation of urbarn systems concept in tanzania.
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Nani alaumiwe? Mholanzi aliyemchapa vibao Mwalimu Mkuu baada ya kukuta wanafunzi wako madarasani hawasomi wakati walimu wamekaa wanapanga ratiba? Huyo Mholanzi ni mfadhili wa shule. Au ndio kale...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
:p
0 Reactions
1 Replies
1K Views
2. STASHAHADA YA UALIMU ELIMU MAALUM: MUDA WA MAFUNZO NI MIAKA 2 Mwombaji awe na sifa zifuatazo: (a) Mwalimu mwenye Stashahada ya Ualimu fani ya Sayansi au Sayansi ya Jamii na uzoefu kazini...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wanafunzi wamekuwa wakigoma kuonyesha udhalimu wa serikali na viongozi wake.sasa nimefurahi kuona hata jumuiya ya wafanyakazi waajiriwa wamelianzisha .huu ndo mwanzo wa mwisho wa umasikini wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Florida dad makes teen son wear sign outdoors for failing three classes. for more information visit yahoo.uk
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Jmn eti chance za vyuo zinatoka lini hasa kwa hz INSITUTE za Serikali e.g:KILIMO, MIFUGO & UVUVI
0 Reactions
23 Replies
12K Views
Ndugu zangu, Shule ya sekondari Majengo iliyopo mjini Moshi itaadhimisha Jubilee ya miaka 25 mwezi Oktoba 2011. Ili kupamba maadhimisho haya imeonekana ni muhimu wanafunzi wote waliomaliza katika...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Na Mwinyi Sadallah 11th March 2012 Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania, (TCU) imesema iwapo itasimamia ipasavyo sheria yake Vyuo Vikuu vya Tanzania vitalazimika kufungwa...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Nataka kujua taaluma yake ni Dokta, Mwalimu, Padre, Mwanasheria, Mchumi au nini.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wale mliopitia vyuo vikuu mna uzoefu na hili.Wakati wanafunzi wanafanya UE,huandika majibu yao katika Examinaton Answers Booklets.Matokeo ya UE hutolewa bila wanafunzi kuona nini walichopata.Kumbe...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
In a bid to recover 811bn/- in outstanding debts, the Higher Education Students’ Loans Board has launched a major hunt for the defaulters, enlisting assistance of the guarantors and local...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Eti kwa wanaojua take-home ya degree ambao kwa mwakahuu basic ni 469,200 ni shingapi? Mbona wanapewa 371,000 ? Is it fare? Give us informations plz "knowers"
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hey wadau naombeni msaada wenu wa kujiunga na UCC.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jamani nimesikia kuwa profesa ibrahim lipumba amechaguliwa kuwa ni profesa bola wa uchumi duniani amechaguliwa na umoja wa kimataifa huko marekani na kupewa jukumu la kusimamia uchumi wa dunia...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Naomba kujuzwa tafadhali. Ni kwanini namba 13 inasemekana ni namba ya Mkosi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dah! nmesoma advance bila kwenda tuition ila chuo kikuu inabidi niende tu,kumbe ndo maisha ya chuo hadi tuition????????????
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau kwanza nabisha hodi jukwaani.naomba mnikaribishe.nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi inayoendelea humu JF kwa muda bila kuchangia chochote,si kwamba nilikuwa sioni cha kuchangia,bali...
0 Reactions
39 Replies
16K Views
Naomba kwa anayejua mawasiliano ya wizara ya Elimu, iwe ni anuani au Simu,
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna rafiki angu alikua anatafta msaada wa hii mitihan ya bodi pamoja na open unverst katka usomaj pamoja na ajila kwa ujumla ili apate infromation zaidi wakuu hasa hii mitihan ya bodi ni coz zip...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…