Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wahenga walisema elimu haina mwisho. Hivyo hivyo kwenye Teknohama umuhimu wa wadau kupitia pitia mabukuleti na machapisho ya wataalam . Ni sababu hiyo naleta chapisho linalohusi VITABU...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
The optimist says the glass is half full. The pessimist says the glass is half empty. The project manager says the glass is twice as big as it needs to be. The realist says the glass contains...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nahitaji topics za vipindi hivi: BASIC APPLIED MATH. fV na VI. General Knowledge fV na VI Ukipenda niambie pia vitabu vizuri vya masomo hayo. Asanteni kwa msaada wenu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari, nina mtu wa karibu yangu anaomba mchanganuo wa kupata chuo. Amemaliza form 4,mwaka jana,but ana div ya 31. Yupo Dar. Matokeo yake ni Civi-D Kiswa-D Geog-F Engl-D Math-F Bios-F...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwalimu ni mtu ambaye ni wa muhimu sana kwa maisha ya mwanafunzi yeyote yule na kupitia mwalimu tunapata madaktari,wanasheria,wabunge na wahasibu,ila kwa baadhi ya wanafunzi wanawadharau sana watu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu walimu wapya 2012 naomba kujua je wenzetu kuna taarifa yoyote au kuna watu wameshapata salary ya ajabumwezi huu? hapa Kigoma hali ni ngumu sana kwa sababu tokea tumeripoti tarehe 1 Febr...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
tafadhali wapendwa jf, Kuna jamaa anauliza eti ana passing tano za olevel kwa vyeti 2 tofauti(ali risti mara 2)sasa anauliza kama anaweza kusoma module?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwaka huu darasa la saba wanatarajiwa kufanya mitihani kwa kujaza majibu kwe fomu maalumu ziitwazo OMR. Watatumia pensel maalum za hb. Je wanafunzi wetu wataweza kweli kwa mfumo huu mpya...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
It is so sad that we don't spend our times and efforts to come out with our own things. This is what happened to one of the renowned professionals in conservation from Congo who is also a director...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naombeni mnisaidie kuhusu hilo kwani linanichanganya sana mwenye taarifa zaidi anijuze
1 Reactions
12 Replies
4K Views
hi JF thinkers nimeskia tetesi toka moja ya maprofesa kwamba wanampango wa kuunganisha vyuo vitatu kama ilivokuwa awali. wakati hayo yakisemwa nkiwa moja ya semina leo nimeskia pia mara COET...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kwa yeyote mwenye soft copy Financial management by I.M Pandey naomba anisaidie
0 Reactions
1 Replies
870 Views
Hi wana JF, naomba msaada wa PDF ya kitabu tajwa hapo.. Nimejaribu kukitafuta google nimeshindwa kukipata, napata 3rd edition, ila nakihitaji cha 2nd edition..
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wapendwa anayejua policy ya mikopo toka bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa wanafunzi wa medicine/dds etc ..... Anisaidie. Sina uhakika kama bado wanapewa upendeleo (100% loan/free???) kama...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jaman wa2 wenye experience hv m2 akipata suprimentary for the first time huwa anachukulia vp the situation?
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wadau jana nilipita sehemu nikakutana na mdahalo mzito sana watu wakibishana hivi mtu kama wazili anatakiwa na elimu kuanzia level gani je ni degree,masters,phd....au diploma
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wadau naomben mnisaidie kupata chuo cha IT...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
kwawale walio maliza form 4,form 6 na chuo na wangependa kusoma india. napenda kueajulisha kwamba wanaweza kuomba admission katika kozi mbalimbali mwisho wa maombi ni mweziwa tano asanteni
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Does anybody know the website address for University of Dodoma. I tried to access using the following address without success: http://www.udom.ac.tz/
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1.post zitatoka lini? 2.naomba msaada nataka kufahamu majukumu ya wizara ya elimu na baraza la mitihani kwenye mitihani ya taifa.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…