Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Political situation of Tanzania on the start of 2012 will likely be the legacy of 2011. Political disputes among opposition and also in the ruling party remained unsolved even yesterday when the...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba wana Jf kuuliza baada ya selection ya f5 matangazo huwekwa wapi? Ni shule aliyosoma mwanafunzi, au kwenye media au ni wapi? je kama mwanafunzi alichagua combination fulani, wakati wa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba wa JF mniwie radhi kama hii itakuwa imesawahi kutolewa hapa, ila ni kwa umuhimu wake ndo nimeamua kopst. Sekata ya elimu ni sekta nyeti kabisa katika nchi yoyote. Ni kitu cha ajabu kabisa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanafunza wa SAUT Mwanza wanaochelewa kulipa tution fees uongozi wa chuo unawatoza faini ya tsh 100,000 kwa kila semester.Total ya laki mbili kwa mwaka kwa wale wanachelewa semester zote...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huku mgomo wa madaktari ukiwa umeshika kasi, Wanafunzi zaidi ya 1000 wa Muhimbili wameandamana hadi wizara ya Afya kudai fedha za Chakula. Hii inanikumbusha hadithi ya Farao na wana wa Israeli
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Masters wanachukua kuanzia G.P.A ipi?
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Jaman wandugu naomba msaada kwa yeyote anaefaham kiasi cha Karo pale Chuo cha Kilimo na Mifugo UKILIGURU mwanza anijulishe Natanguliza shukrani.!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
viongonzi wa serikali ni wezi hasa kitengo cha elimu kutokana na kutodhamini elimu ya kitanzania mfano tuangalie matokeo ya darasa la saba, halafu tuangalie kidato cha nne bado matokeo mabaya...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Kuna makala moja ktk gazeti la Mwanahalisi la Leo kuhusu majibu ya Dk Ndalichako aliyoyatoa Zanzibar alipokutana wanahabari. Hoja ya msingi. Ndalichako amekataa kukiri kwamba mtihani 2011...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
I will be carrying out Training on RESEARCH PAPER WRITING, POLICY PAPER DESIGN/ PREPARATION. in Arusha this will be done at Arusha Hotel,in Dar es salaam we will advise. number of participants are...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
WE HAVE A MODERN LIB FOR THE PUPILS FROM PREPARATORY CLASS 1- TO SEVEN, THE LIB PROVIDES SEVERAL CATALOGS ,DICTIONARIES AND CURRENT BOOKS :eyebrows:. IT ENCOURAGES READING CULTURE TO BOTH...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SAMUEL KARANJA | NATION Kamau Wilfred Githuka from Pioneer School in Maragua is carried shoulder high by his fellow students in the school on February 29, 2012. He was the top student in Murang’a...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
waungwana,naombeni mnipe mwongozo kati ya hizo kozi tatu hapo juu ni ipi nzuri,nafikiria kusoma mojawapo mwaka huu.na je mtu aliyesoma HGE ataweza kuchaguliwa kweli?asanten
0 Reactions
9 Replies
9K Views
M2 yupo tz lkn anasoma chuo kikuu cha khartoum wakati hata hajawah kufika ila n kw mtandao tu,n kwl hii ipo?
0 Reactions
1 Replies
931 Views
Naomba kujua hasa kuhusu hii course ya BsC in Environmental Engineering inayotolewa hapa ARDHI UNIVERSITY (zamani UCLAS). Kwa hapa bongo ni kazi gani hasa hawa watu wanafanya na vipi kuhusu...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
jamani naomba kuuliza matokeo ya kidato cha nne 2011 yatatangazwa lini naomba msaada wenu wakubwa
0 Reactions
18 Replies
16K Views
habari zenu, Nina ndugu yangu amehitimu kidato cha nne amepata division two na nia yake hasa ni kusoma combination ya CBG Je ni shule gani za binafsi nzuri ambazo zinafundisha hii combination
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimehtimu kdto ch IV mwka jana nina point 24 na credit tatu ninazo,civ-C,his-A,eng-C,kisw&geo-D! Tatzo nina wacwac cjabalance! Hebu niambieni wanaJF,nitachaguliwa? Mana'ke pressure haijashuka bado!
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wana JF natafuta phone no. ya Kibosho Girls, one on yellow pages inaitaaa no one is picking, msaada please.....
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nataka kujua, Je! Chuo cha global college kinondoni Dar res salam kimesajiliwa?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…