Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Subirini kidogo tu. Yanaweza kutoka Jumatatu ya tarehe 30 Januari 2012. Muda mfupi uliopita niliongea na mtu wa IT huko NECTA ambaye aliniambia yangetoka leo lakini kuna tumarekebisho kidogo.
2 Reactions
39 Replies
16K Views
I was doing a research regarding computers and i got to find out about www.stonehouse.co.ke A company that sells computers which are extremely energy efficient,are powered by solar and have...
0 Reactions
0 Replies
595 Views
Wanajamii. Nimeletewa mwaliko wa kunijuza kuwa Kesho taarih 23 Jan 2012 kutakuwa na Mahafali katika Chuo Kikuu cha Zanziba (Tunguu) na mgeni rasmi atakuwa Rais wa SUK Mh Dr Alli Moh'd Shein. Kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wapendwa wanangu mnaoanza mitihani yenu leo, Nawatakia kila la kheri katika mitihani yenu inayoanza leo. Bila shaka mmejiandaa vizuri. Mungu awe nanyi -AMEN
0 Reactions
6 Replies
4K Views
MAAFA YA KIDATO CHA NNE 2010 DARAJA WANAFUNZI I 5363 II 9942 III 25083 IV 136,633 0 174,193 hivyo ndiyo hali halisi ya jinsi ya matokeo ya kidato...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
(and all those who are looking forward to their exams). EXAMINATION SKILLS E=>ENTER the exam room in time and ensure that you have the necessary materials. X=>XENOPHOBIA and panic may be...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Necta wana mpango gani na form 4 leavers. Kama kuna mwenye tetesi kuhusu matokeo yatatoka lini anijulishe basi.
0 Reactions
49 Replies
8K Views
Matokeo ya Kidato cha nne 2011yatatoka lini?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
...Elimu ya Tanzania sasa IMEKUFA RASMI. Waziri wa Elimu amethibitisha bungeni, tena bila kigugumizi wala wasiwasi kwamba wanafunzi WALIOFAULU kuingia kidato cha kwanza watafanyiwa kijimtihani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni baada ya kusoma uzi wa MwanaJamii aitwae VUTA-NKUVUTE humu javini kuhusu kuchakachuliwa kwa matokeo ya Kidato cha nne waliohitimu mwaka 2011,ndipo nikasukumwa na dhamira ya kutaka kujua...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Miaka ya mwanzoni baada ya uhuru Mwl. Nyerere alitangaza maadui wakuu watatu ambao ni ujinga, maradhi na umaskini. Hivi karibuni vijana wa sekondari wamekuwa wakifeli kwa wingi. Hakuna hatua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa kuwa soko la bidhaa hapa nchini limevamiwa na uchakachuaji,nikiamini kuwa vifaa vya ujenzi vikiwamo nondo navyo vimeathiriwa na hali hii. Najua kuna nondo zinaingizwa kutoka nje ya nchi kwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Shikamooni wakubwa!!! lakini mi niko at 30's yrs!!! Jamani nna B.A.ACCOUNTING AND FINANCE..... naomba msaada wenu nishauri masters mzuri, iliyosokoni nikasome..... MBA(CM), MSC. ACCOUNTING...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
For social scientists and researchers. Is a veru useful manual on research! Grab it!
12 Reactions
36 Replies
1K Views
Inakuwaje mtu umepata nafasi ya kwenda chuo kikuu umekidhi vigezo vyote kama muda wa kufanya kazi zaidi ya miaka 3, mwajiri anakuruhusu huku akicomment kuwa utajisomesha na kujigharamia gharama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Inasemekana kuwa matokeo ya kidato cha nne hutoka kabla ya mitihan ya form 6 na mitihani inaweza anza tarehe 8 so tar 6 au 7 it will be out!
0 Reactions
13 Replies
5K Views
hello! JF am study Diploma II of accountant at COLLEGE OF BUSINES EDUCATION,Dodoma campus. Naitaji kuuzuria seminal mblmbl z field yng problem i dont were 2 find those semina it in order 2...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau naomba kuuliza soko la fani ya bachelor of procurement and supplies management,kwenye upande wa ajira imekaaje?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna majina ya wadaiwa wa Bodi Ya Mikopo yamewekwa kwenye mtandao wa Bodi hiyo, cha kushangaza ni ubabaishaji wa watendaji wa taasisi kubwa na nyeti kama hiyo, kuonesha dhahiri kuwa hawana data...
0 Reactions
24 Replies
10K Views
MBARIKIWE SANA MSIPANIC JEHOVAH YUKO NANYI AMINA
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…