Kwa wale mnaokuwa na projects halafu mnatumia MLA, APA etc, hii itakurahisihia kazi na kukupunguzia muda, just copy the link and paste it, boom you got all the citations, ni very helpful...
The Observer (Kampala)
Polly Kamukama
11 December 2011
Uganda's pupils have one of the worst reading cultures in Africa.
And when it comes to mathematics, the performance is equally dismal...
Taarifa ya habari toka TBC Taifa ya saa tano usiku wa jana imemnukuu naibu waziri wa elimu kuwa matokeo rasmi ya darasa la saba ya mwaka huu (2011) huenda yakatangazwa leo muda wowote. Taarifa...
Global Undergraduate Scholarships for International Students at York University - Canada
The University of York offers Global Leader of Tomorrow Scholarships and International Entrance...
nina wasiwasi na elimu ya Tanzania, naimeshindwa kujua kabisa hivi elimu yetu inapanda au inashuka?, Matokeo yote yana utata mtupu au ndo wanajaribu kuingiza siasa katika taluuma na kama iko hivi...
Siri ya kufukuzwa Wanachuo nje
*Chadema yaibua nyaraka za CCM, yasema inahusika
*Heche adai ni hasira za Kikwete kuzomewa Mlimani
Na. Waandishi Wetu
SIKU chache baada ya kufukuzwa kwa takribani...
One of the International school hapa moshi inacharge fee namna hii na hata kule Arusha zipo shule kibao za hivi, Dar ndio usiseme, Mwanza nako mpaka Shinyanga kweli wanatoa elimu inayogharimu...
Nimekuwa nikijaribu kujiuliza maswali mengi kuwa nini itakuwa hatima ya hawa watoto waliofutiwa matokeo juzijuzi na NECTA....ndo wameishia hapo au kuna nafasi ipi tena kwao kielimu?
Je, ni wao ndo...
Wanafunzi wa Chuo Kikuu huria cha Tanzania Makao Makuu, Kinondoni Dar es salaam, wameziba mlango wa kutokea wa block D, ambayo yaonekana ndilo jengo la utawala wanadai mikopo, wanasema hawaondoki...
Gazeti la Citizen leo hii limebeba habari muhimu kwa wale wanaotaka kustrahe katika sehemu mbalimbali hapa nchini siku ya krismasi.
KuhuZunisha ni kwamba gharama za mahoteli zimeongezwa marudufu...
Kuna mkoa mmoja nimeenda nikakuta kuna watu wanafundisha watu wanaotafuta CPA lakini hao walimu wenyewe hawana CPA, inakubalika hii? Au kama mtu amesoma finance anaijua vyema anaweza kufundisha...
...Kama ulishuhudia kauli ya VC wa University of Dar-es-salaam Profesa Mukandala wakati anaongea na vyombo vya habari kuhusu kuwafukuza wanafunzi takribani 40 na kitu unaweza kulia.Kauli zake ni...
Tafadhali kama kuna mtu anayefahamu namba za simu za bodi ya mkopo zinazopatikana maana natumia zlizopo kwenye internet hazipatikani na muda wa kujaza form za kuappeal unaisha .
Matokeo ya mitihani wa darasa la saba yametoka na Mkoa wa Dar es Salaam umeongoza kwa kufaulisha ukifuatiwa na jiji la kitalii, mkoa wa Arusha. Cha kushangaza ni kwamba idadi kubwa ya waliofaulu...
nimefurahishwa sana na jana jinsi wanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma walipofanya ziara ya kutembelea kitua cha watoto yatima miyuji nje kidogo ya mji wa dodoma walipeleka zawadi mbalimbali kama...
Philipo Mulugo nw wa elimu na mafunzo ya ufundi stad kasema wasiripoti shuleni na watakaoripoti wapewe mtihani wa kusoma kwanza
Hivi inakuwaje mwanafunzi afaulu kwenda sekondari pasipo kujua...
TAMKO KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU KUFUKUZWA . UTANGULIZI:
Kwa miaka ya hivi karibuni Vyuo mbalimbali vimekua na tabia ya kuwafukuza ama kuwasimamisha masomo...