Napenda kuwatakia mtihanini mwema form 4 wote. Ni mategemeo yetu mtakuwa mumejiandaa vizuri kupambana na huyu jamaa asiyependwa na wengi hapo j3. Zimebaki sekunde za mwisho za kuangalia jinsi ya...
ndugu wana JF mulioko huko Uganda, salama?
kama kichwa cha habari hapo juu, naomba munisaidie Address ya mtandao wa baraza la mitihani la huko uganda ili niweze kuangalia matokeo ya kijana wangu...
Wanabodi,
Leo ndio siku ya Interview ya kujiunga na Shule ya Sekondary ya St. Marrian Girls Sec. School iliyopo Bagamoyo.
Interview hiyo inahusisha mtihani wa masomo matatu ya Hisabati...
Kwa mujibu wa wanafunzi waliokosa mikopo ambao jana walikuwepo bodi ya mikopo kulalamika, jana waliamua kuandika barua kwa raisi kumwelezea hali halisi. Kwa mimi ninavyoona hii ni hatua nzuri...
Jamani waaungwana naomba kama kuna mtu ana tangazo la "Full funded courses by ministry of external affairs, government of india'' (ni short courses) ambalo limetoka hivi karibuni kwenye magazeti...
UDOM----ANNOUNCEMENT FOR SECOND AND THIRD YEAR STUDENTS
The University of Dodoma informs all continuing students that registration
will be carried out at Jamhuri Stadium in groups as follows:
·...
Wadau hebu nijuzeni,mtu akitaka kuanzisha kipindi kwa tv anatakiwa aanze process zipi,namaanisha kuanzia kuomba mpaka kuendesha kipindi bila kusahau malipo km mshahara,natamani sn kuwa mmojawapo...
Kupitia magazeti ya jana tarehe 28 Septemba, 2011 Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ilijibu makala hii ya Deusdedit Jovin ambayo kimsingi ina mantiki kubwa. Bodi imonyesha kumbeza na kumtuhumu...
nasikia kuna programe nzuri iliyoanzishwa na wizara ya elimu tz ya kubadilisha mtizamo wa ufundishaji wanafunzi badala ya mwl kuwa ndiyo kila kitu wakati somo linaendelea na sasa kitovu cha...
hi wadau naomba msaada wa kujua lini udom watatoa majina ya watu walio omba kupitia mature age entry.........mpaka leo hakuna tangazo lolote khs admission ya mature....wakati chuo kinafunguliwa...
hv hawa HESLB wanadhan kuwanyima equivalent mkopo ndio soln. mbona kuna equivalent weng wajanja tena waliopo kazini wame aply direct TCU na vyet vya fom 6 wakapata mkopo? nawashaur equivalent...
Fomu na barua zinapatikana kwenye tovuti ya chuo kikuu cha dodoma unalog in kwa index no.ya form four kama user name,na surname kama password ikiwa kwenye capslock
kwa anaejua hili naomba anisaidie. Ni maswali gani yanayoulizwa kwenye hiyo interview. Nini hasa ninachotakiwa kufanya au jinsi ya kujibu maswali ili niweze kuipata iyo scolarship.
Hello jf!!naomba mwenye information kuhusu masuala ya kitaaluma ya hcho chuo hapo juu,soko la wahitimu wake na mambo mengne anipe,kuna mdogo wangu kachaguliwa hapo for bachelor of economics with...
Wanajanvi naombo msaada kuhusu kusoma MA pale Makerere kwa M7,vipi gharama zake katika kitivo cha elimu au sanaa ya sayansi ya jamii.Vipi kuna shule na facilities au tia maji bora liende.Na je...
Nimeisikia híi katika mapitio ya magazeti, imeandikwa katika gazeti ya nipashe. Wamedai watakaondamana kudai kuongezewa mikopo watafutiwa mikopo waliyopewa.
Pia wamepiga marufuku siasa vyuoni na...
naombeni kujua kama mtu alifanya application ya chuo kupitia tcu na akachaguliwa na mkopo akapata kidogo, lakini kwa sababu wazazi wake hawapendi hicho chuo alichochaguliwa na pia hawana hela...