Naomba kabisa kwa upendo wa Mungu i na kwa imani uniwekee hapa SALA YA KUKEMEA MAPEPO (MAJINI MAHABA) nimegundua ninasumbuliwa sana na haya mapepo, Itakuwa vema nawe unapokuwa kwenye maombi yako...
From MARC NKWAME in Arusha, 31st July 2011 @ 12:05, Total Comments: 2, Hits: 428
UNIVERSITY lecturers have been warned against intimidating their students into believing that the subjects they...
naomba tujadiliane ni kwanini sehemu kubwa ya nchi yetu vijana hawapendi somo la hesabu wakati tunajua fika ni kiunganishi cha masomo ya sayansi kama biology,chemistry na physics haya ndio masomo...
Kwa mara ya kwanza kuwapongeza HESLB kwa kutuingizia hela ya field hata wale ambao hawakuwa na field! Nasema hivyo kwa sababu first year wanaofanya kozi nyingine tofauti na Education imekuwa...
Chuo kiitwacho MODERN COMMERCIAL INSTITUTE kipo mtaa wa nkruma clock tower kinajitangaza kwamba kimesajiliwa na NACTE kutoa mafunzo kwa ngazi ya Diploma kwenye tovuti yao nikiperuzi kwenye mtandao...
Some lecturers of higher learning institutions simply make sure their students fail in exams. The habit is common at the University of Dar es Salaam (UDSM) where some dons want their students...
Hello wana JF wote!
Leo nina swali moja ambalo ningependa tubadilishane mawazo pamoja na tafiti zilizopo juu ya uwezo wa Brain ku multtask.
CAN THE BRAIN MULTTASK?
Wanafunzi watasoma lini kama shughuli wawapo shuleni ni kwenda kuokota kuni kwa ajili ya walimu wao. Hapo pichani ni wanafunzi wa darasa la saba wa shule ya Msingi Manda, Mkoa mpya wa Njombe
Ni chuo gani hapa tanzania cha private cha ualimu level ya diploma ,nataka nimsaidie kijana yatima akasome ? Nisaidie nimsaidie plzz cha ada ya kawaida
Tafadhali wana JF naomba kwa yeyote mwenye taarifa za mbunge wa jimbo la Kilombero.Sababu sijapata kusikia akichangia hoja yoyote kutoka kwake.Au labda yuko nje ya nchi masomoni.
Wana JF wenzangu naomba mchango wenu wa mawazo na msaada kwa manufaa ya wengi wenye mpango wa kujiendeleza kielimu, naomba kwa mwenye kufahamu namna mtu anaweza kuomba scholarship na kupata...
Ninavyo itazama elimu hii ninaona kama inamaliza kipato cha Watanzania {wazazi na walezi} na pia inawapotezea muda vijana wa kitanzania [Wanafunzi].
Kwa nini naiona hivyo?
Elimu hii imeshindwa...
Urenium inayorutubishwa ni mchananganyiko wa madini ya Protoni, madini joto (Aodin) na Neuton ambazo kwa kawaida huwa zinazotoa mnunurusho wa Isotop (Atomiki).
Kutokana na mchanganyiko huo...
Zenj
Tanganyika
Magadisio
Dar Es Salaam
Tanga
Mombasa
Mozambique
Tabora
Kilwa
Sofala
Mafia
Mpaka kongo, na kwingineko, kulitawaliwa na Zenj Empire. Jee, kulikuwa na lugha ipi ya...