Wakuu wana Jf,
Naomba kufahamishwa Ofisi za TCU zilipo hapa jijini DSM, I mean ni mitaa ipi/ maeneo gani.
Je nikitokea Ubungo nipande dala dala za wapi na nishukie kituo gani?
Natanguliza...
Wadau naomba kuuliza hapo zamani nilisikia kulikuwa na elimu iliyokuwa inatolewa na vyuo vya ufundi vya serekali yaani Dar Tech,Arusha Tech na Mbeya Tech.Ila kwa sasa siisikii tena na katika...
Ni kweli kwasababu utakuta mtoto anakaa tabata na shule anasomea posta kwa umbali anaoutumia kwa kwenda shule na kurudi nyumbani anachoka anakosa ata mda wa kujisomea na ndio kinachosababisha...
Msaada tafadhari - nina swali la ''kizushi''
Hivi unapoambiwa kuandika document huku wakiwa wamerestrict idadi ya maneno, let say less than 500, nini hasa kinatakiwa?
Ni rahisi kuhesabu maneno...
Jamani naombeni mnijuze kuhusu course hii ya development study, je inaajira za kutosha tanzania? Na kazi zake ni za aina gani? Na mdogo angu anataka akachukue BADS chuo october.
WANAFUNZI WA KITANZANIA - CHUO KIKUU CHA URAFIKI LUMUMBA, MOSCOW-URUSI.
Mhe. Waziri Mkuu Peter Mizengo Pinda,
Tunaomba kuanza kwa kukupa pole kwa majukumu mazito uliyo nayo katika ujenzi wa...
Muda huu kuna kundi kubwa kiasi la wanafunzi UDSM linapiga tarumbeta kusherehekea mwisho wa mitihani na masomo yao baada ya miaka mitatu au minne ya chuoni kutegemeana na programu aliyosoma...
Pamoja na uduni wake(IFM) katika suala la management, kuna suala moja linanikera zaidi! Na hili ni kuhusu ma-lecturer wa hapa IFM,yaan wamekuwa mabingwa wa ngono! Wanawarubuni dada zetu kwa madai...
nataka kupata cods za education sites ili niweze kusoma vitabu free on internet but i cant get them by googlig, kwa iyo kama mtu yoyote anaweza akansaidia then naomba aniambie.. iwe ni site ya...
Wakuu wana-JF
Naomba msaada wenu ili kukamilisha utafiti wangu.
Natafuta majina ya kiswahili yanayofanana na machache niliyoorodhesha hapa.
Naomba nisisitize kuwa huu ni utafiti tu, sikusudii...
This year, the Rotary Club of Arusha, Golden Sunrise in collaboration with Chapter: 1535 -McIntosh Trail Georgia are organizing an event called the Chalk Walk event to honor great teachers of...
habari za asubuhi wanajanvi? natumaini hamjambo na mnaendelea na kulisukuma gururdumu la maendeleo.....Jamani naomba kujulishwa ni lini selection ya open University of tanzania kwa Masters...
WADAU HII NILIIPATA KWENYE FACEBOOK, ILIANDIKWA NA MDAU ANAITWA ALEX MUSHI
''JAMANI HAKUNA SIKU NIMEUMIA KAMA LEO. Uwezi amini mdogo wetu wa mwaka wa kwanza, GETRUDE NDIBALEMA alivyochanganywa...
Katika vile vikao vyetu vya jion baada ya kazi, tulikua tumekutana na jamaa kibao kutoka sehem mbalimbali za kazi. Katika mazungumzo kuna mtu mmoja alifanya mambo ya kitoto sana ndo jamaa mmoja...
Mi ni mwalimu wa somo la Historia kwa shule za secondary,nina nia ya kusaidia jamii kwa kutoa resources na ushauri ktk somo hili,na kwa bahati mzuri nikiwa katika harakati za kutafuta ni wapi...
Vita vya ujinga: Dhana iliopotoshwa
VITA VYA UJINGA: DHANA ILIYOPOTOSHWAKwa muda mrefu hapa nchini nasehemu zingine za Afrika kumekua na dhana ya vita vya kupamba na Ujinga. Nimeshawishika sana...
Shukuru kawambwa yuko hewani, anawasilisha bajeti ya elimu, habari njema kwa wanavyuo, posho imeongezwa toka elfu tano hadi elfu saba mia tano!. Migomo itakwisha vyuoni?