Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naomba kujua kutoka kwa wazazi wenzangu ambao watoto wenu wanapata matokeo bora, siri ama mbinu gani mnatumia hapo nyumbani mtoto afaulu? Nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
236 Views
Mwenye kuelewa namna ya kufanya Apply For Appeal kwenye mfumo wa OLAMS HESLB naomba msaada maana kila nikiingia mfumo unaniandikia "An Error Occurred Please Try Again" Msaada kwenye tuta wakuu
2 Reactions
2 Replies
355 Views
Wengi wetu tunatamani kufanikiwa, lakini ni wachache wanaojua siri ya mafanikio ya kweli. Mara nyingi tunaamini kuwa mafanikio yanatokana na kitendo fulani kikubwa au tukio maalum, lakini ukweli...
0 Reactions
1 Replies
270 Views
Habarini. Leo watu wengi disbursement zimekua displayed kwenye account zao za Heslb Ila kwangu bado hakuna mabadiliko. Kwanini?
0 Reactions
0 Replies
435 Views
Na kumbuka Mabweni ya Urafiki, umoja, maendeleo, ujamaa na muungano! Nakumbuka shida ya umeme iliyokuwa itokea na kulazimika kutumia chemli! Kama mtakumbuka Kuna kisima cha kupampu a.k.a...
1 Reactions
31 Replies
12K Views
Habari wanajamii, Naomba kuuliza jambo kuna mtu amekutwa na changamoto, amepoteza kadi yake ya bank aliye tumia wakati wa maombi ya mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kisha kwenye kusajiri...
0 Reactions
4 Replies
311 Views
Kama kichwa kinavyojieleza, Leo mwanangu amenipa taarifa kuwa shule yao,yaan Ubungo Nhc msingi inabadilishwa na kuwa mchepuo wa kingereza Nikapata mshituko kidogo, ikabidi nifanye uchunguzi...
1 Reactions
9 Replies
477 Views
Chuo cha Uhasibu Arusha kutoa mafunzo ya Uhasibu, Tehama na Uongozi Comoro Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Profesa Eliamani Sedoyeka anaongoza ujumbe wa chuo hicho katika mazungumzo na...
0 Reactions
1 Replies
301 Views
Comrades and fellow members here are some tips you should know; Top of Form Bottom of Form How to Write an Essay This concise guide to writing an essay by PhD Professor...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni awamu ya kwanza yenye wanafunzi 21,509 Mikopo yao ina thamani ya TZS 70.78 bilioni Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Jumamosi (Septemba 28, 2024) imeanza kutangaza...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Naomba ushauri vip kuhusu hizi course veta ipi soko lake liko vizuri 1. Electrical installation 2. Auto Electrical 3. Motor vehicle mechanic
3 Reactions
16 Replies
901 Views
Wakuu karibu tujadili. Sahivi Kuna sera mpya ya Elimu, na imepitishwa na serikali, na katika sera hiyo, Kuna mabadiliko kwenye eneo la walimu. Katika sera mpya Ili ufundishe Sekondari ni lazima...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
1. Proceed from simple to complex 2. Proceed from known to unknown 3. Proceed from part to whole 4. Proceed from particular to general 5. Motivate learners to learn 6. Do not teach in isolation 7...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimejaribu kuzura kuangalia matokeo kwa shule mbalimbali nikilinganisha.privaye schools na kayumba napaa wasiwasi hujuma inafanyika kuzipa promo private schools. Kwa kweli Matoleo ya ovyo mno...
3 Reactions
50 Replies
2K Views
Niweke wazi kuwa nina maslah ya moja kwa moja na huu uzi. Nimezaliwa, nimekulia, nimesoma Machame, nimetoka nikiwa mtu mzima kidogo.. Kipindi tunasoma tulikuwa si chini ya Wanafunzi 40 kwa...
5 Reactions
37 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu wanaJf Natumaini mko salama na wenye afya njema. Ninaomba msaada wenu kwa jambo muhimu. Natafuta Kitabu cha Enock kilichoandikwa kwa Kiswahili. Ikiwa kuna yeyote kati yenu...
1 Reactions
4 Replies
533 Views
Jinsi gani naweza kujaza form ya rufaa ya mkopo Heslb utaratibu ukoje?
0 Reactions
4 Replies
614 Views
Mtoto wa dada yangu aliazima joho la mwenzie, akapiga nalo picha kisha akamtumia mama yake mkoani. Lakini kiukweli alikuwa ame DISCO CBE mwaka 2020. Mama alikuja kugundua baadaye sana wakati...
13 Reactions
58 Replies
2K Views
Habari zenu, Chinese Government Scholarships zimefunguliwa kwa sasa. Ni full funded kwa undergraduate, masters na PhD Ukitaka hatua zote za application zipo kwa website Yao, nenda google alafu...
1 Reactions
5 Replies
582 Views
Nahitaji kujua maana ya maneno haya kwa kiswahili na tofauti zake Nation Country State
1 Reactions
12 Replies
324 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…