Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari za mda huu wakuu Hivi ukidisco chuo ukaenda chuo kingine kuna uwezekano wowote wa kuomba mkopo na ukapata???
4 Reactions
18 Replies
713 Views
Kumbe kuna vyuo vinazidi hata ada ya IST Tanganyika https://www.ndctz.go.tz/publications/joining-instruction
1 Reactions
6 Replies
576 Views
Ulijiskiaje? Una ushauri gani kwa wanaosoma chuo sasa hivi, juu ya supplementary. Darasani kwenye lectures, seminars, presentations, group discussions, etc.; hujawahi kukosa hata siku moja...
1 Reactions
8 Replies
462 Views
Zijue Kozi 40+ za degree ambazo Muuguzi/Nurse wa Diploma anaweza kuzisoma Tanzania kwa mujibu wa Guidebook ya TCU 2024/2025 If your a Nurse Midwifery with an ordinary Diploma save this👇🏾 1...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Naomba kuuliza aliyemaliza kidato cha nne mwaka 2015 na hajafikisha miaka 35 anaweza kupata mkopo ngazi ya diploma
1 Reactions
2 Replies
306 Views
Habari zenu natumai mko salama Hivi radiology na nursing bora ipi ukizingatia uwezekano wa ajira? Naombeni maoni wakubwa🙏🙏
1 Reactions
8 Replies
606 Views
Habari. Naomba kwasilisha kero wanayopitia baadhi ya wanafunzi wanufaika wa mkopo unaotolewa na HESLB ambapo hela kwaajili ya kadi za bima ya afya kwenye akaunti zao inaonyesha wameshalipia...
0 Reactions
0 Replies
226 Views
"The server at olas.heslb.go.tz is taking too long to respond. The site could be temporarily unavailable or too busy. Try again in a few moments. If you are unable to load any pages...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari Wana JF Naomba kupata muongozo na maoni mbalimbali. Kuna Chuo kinaitwa International University of East Africa kipo nchini Uganda kinatoa kozi mbalimbali za diploma, degree na masters na...
0 Reactions
3 Replies
512 Views
Anonymous
Kuhusiana na Suala la Mikopo UDSM
0 Reactions
2 Replies
142 Views
Wanachuo tunaojiunga kwa mwaja wa masomo 2024/2025 tujuane tupeane location n kuchangia mawazo zaidi. Na kwa walio pitia chuo icho pia tupeane msaada🙏🏼🙏🏼
0 Reactions
2 Replies
318 Views
Anonymous
Shida nini Bodi ya mikopo?. Wanufaika wa Samia Scholarship kwa wanafunzi endelevu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) hawajalipwa fedha zao za kujikimu wakiwa katika mafunzo ya vitendo...
0 Reactions
0 Replies
156 Views
Samahani kwa tulioomba au ambao walishawahi omba muhas diploma ya radiology online kupitia website ya chuo na sio nacte, kama umechaguliwa majibu unayapataje? Au yalishatoka nimetemwa😂
0 Reactions
7 Replies
562 Views
Wakuu nimejikuta nimekuwa mvivu sana hasa kwenye mambo ya kusoma, sina mood kabisa sijui nifanye nini. Hamna ninachowaza useme hela au mapenzi, hamna chochote, nipo tu yaani sielewi japo...
4 Reactions
53 Replies
3K Views
Inawezekana kusoma? yaani naweza kusoma huku nikiwa natafuta pesa ya kujikimu na kujilipia ada? Je, kuna utaratibu wa chuo kumpa mtu muda wa kufanya kazi za kujiingizia kipata na kufanya masomo...
1 Reactions
3 Replies
300 Views
Jamani naomba kujua kiundani hii elimu ya veta kwenye zile short courses za NVA NVA I inasoma kwa muda gan? NVA II inasomwa kwa muda gani? NVA III inasomwa kwa muda gani? Anaefahamu naomba unipe...
2 Reactions
1 Replies
217 Views
Habari za kazi ndugu watanzania wenzangu, Binafsi niwapongeze woote katika juhudi zilizo tukuka kulijenga taifa letu safi la Tanzania, Nimpongeze Mh. Dr. Samia suluhu Hasan kwa juhudi za...
0 Reactions
1 Replies
394 Views
Taaluma kadhaa nchi hii hazina vitengo, na hazijulikani wapi zitumike na tofauti zake hasa katika halmashauri zetu, kumbuka huu ni utafiti wangu binafsi: 1. Bachelor of arts in economics 2...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Hizi hapa Fani 11 za afya za kusoma mwaka 2024/2025 Kwa kutambua tatizo sugu la ajira nchini hizi ni Fani za Afya ambazo kwa mujibu wa Hotuba ya Bajeti ya wizara ya Afya 2024/2025 zitakuwa na...
6 Reactions
13 Replies
7K Views
Habari wanajukwaa. Kuna changamoto tunapitia katika uhakiki wavyeti vya kuzaliwa kupitia RITA. Wengi tupo katika mchakato wa kuomba mkopo wa elimu ya juu lakini kikwazo kimekuwa kwa RITA. Mimi...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…