Wanaotoka diploma kwenda degree muhas wengi form 4 hawakupata matokeo mazuri mathe ,na physic
Leo niliamua kupitia waliokuwa selected muhas pale 2022/2023 nimekuta wengi waliotoka diploma kwenda...
Natumaini ni buheri wa afya ndugu zangu katika jukwaa la elimu. Mimi ni mhitimu wa Stashahada ya Utunzaji wa Kumbumbu, Nyaraka na usimamizi wa Taarifa katika chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere...
Wakuu leo katika utulivu wangu nimefikilia kwamba bandari ni ni moja ya sehemu ambayo kwa kijana wa sasa anaweza kunufaika na ajira ya mapema kama akisomea kwa wakati huu ambapo Nchi yetu...
Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuo tajwa abakwa adi kufariki dunia na habari kutoka kwa wanafunzi hapo wadai watu takribani 30 wamekamatwa.
NOTE: Picha zinazoonesha Mwili wa Marehemu...
Sijui wako wapi wale rafiki zetu wa shule ya msingi hasa darasa la kwanza mpaka la 7
Wale wanajua Siri zetu tangu tunajikojolea Darasani
Alafu kuna yule rafiki yako ambae ilikuwa kila Siku...
Habarini wana JF : Kuna dogo apa amemaliza F4 last year ,alkua anasoma masomo ya sayansi lakin comb hazikubalance akapangwa HKL lakin nliongea naye na tukakubaliana n bora aende chuo moja kwa...
Ulimwengu wa sasa una mabadiliko mengi ya kiuchumi, kielimu, kiafya n.k.
Ulimwengu wa sasa ili ujiite msomi, inakulazimu umiliki tovuti '' website'' na kuwepo na kipengele kinachoonyesha...
Wakuu habari,
Kulingana na dunia ilivokasi kwa sass, ni kozi gani muhusika wa masomo tajwa hapo anaweza kusoma kwa lengo la kujiajiri na kuajiriwa.
Mbarikiwe.
Habr wanjf.
Kwa upendo kabisa naomba kuwashauri wazazi wenzangu, ni vyema kuwa na maono ya mbali kuhusa safari ya maisha ya vijana wetu,kama kijana amefaulu form six au form four ni vyema aende...
Je, kuna mtu humu ndani alishawahi kufanyaga interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Bank of Tanzania (BoT)?
Kama umeshawai kufanya ni maswali yapi huwa wanapendelea kuuliza?
Kwa anayejua...
Je, kuna mtu humu ndani alishawahi kufanyaga interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Bank of Tanzania (BoT)?
Kama umeshawai kufanya ni maswali yapi huwa wanapendelea kuuliza?
Kwa...
Wakuu salam za hap jukwaani.
Leo kuna kitu nilikuwa nafikiria sana.kama hapo title inavyosema.hivi kweli mwanadamu anatokana na nyani yani kwaakili ya kawaida tu unaweza kujiambia mwenyewe mm...
Kwa anaefahamu naomba msaada...mtu mwenye diploma ya clinical officer na akapata gpa chini ya 3
Je akisoma foundation kozi akafanikiwa kupata GPA zaidi ya hapo...
Inawezekana kwenda kusoma MD...
Salaam wana-JF
Kama kuna mwenye ufahamu wa kinachoonekana kwa hii screenshot anisaidie ufafanuzi.
Kwanza hizi acronyms STP na TRV zina-maanisha nini. Ukizingatia hii ni kwa wale waliosoma nje ya...