Habari wanachama wa JamiiForum,
Je, uko katika njia panda, ukifikiria kama utafanya Shahada ya Uzamili (Masters) au kupata cheti cha PMP? Vyote ni vya heshima na vinaweza kuathiri kazi yako kwa...
Habari wanaJF
Naomba uelewa wa kitu kinachoitwa project management proffessional(PMP), ni kitu gani? wahusika ni wapi wanatakiwa kusoma? kuna faida zipi ukisoma na hasa kwa muajiriwa wa...
Hujambo ndugu mwana JF.
Karibu AcademiazSoft.
RAhisisha na kuboresha namna ya uendeshaji wa shughuli zako za kila siku shuleni kuwa kisasa zaidi.
Mfumo wa wa kidigitali wa AcademiazSoft, unakupa...
Wasalaam wakuu......
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza waungwana naomba kujuzwa Ada kwa vyuo vikuu vya serikali ni kiasi gani kwa undergraduate degree program yaani ile tunasemaga digrii
Habari wana jamiiforums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Hili bandiko sijagusa Maisha ya mtu/watu. Lakini Kwa njia hii, vyeti vya wanachuo vitoe picha kamili na sahihi kuhusu sababu za muda...
Kipindi cha awamu ya chuma,jiwe tulishuhudia huduma bomba sana kwa watumishi wa umma ngazi zote, kuanzia chini hadi juu, ila baada ya kuondoka inaonekana kaondoka na vyote mapanya buku yametawala...
Habari Wakuu,
Naombeni mnisaidie ni chuo gani kizuri cha private ngazi ya diploma kwa fani ya nursing na clinical medicine ambacho kina hostel za bei rahisi au hostel za bure?
Chuo kisiwe kanda...
Habari za leo wakuu,
Nahitaji kujua GPA ya diploma inaishia ngapi? Maana najua ya Bachelor inaishia 5.
Napia mtu anaye pata GPA ya 2. 6 kwa Diploma uwezo wake ukoje?
Nawasalimu kwa salamuu ya jamuhuri
Humu ndani naona watu mnawatisha watoto kuhusu GPA sikuhizi GPA kubwa zimebebwa na vilaza ambao wengi wao wamenunua mitihani kwa walimu wale, ambao wanatumia...
Ndugu wadau, nilitaja kujua combination ipi kati ya PCB na PCM ukifauli inaweza kukupa uwanda mkubwa wakusoma course nzuri huko mbele za safari baada ya form six.
Asante sana.
Suala la mtaala mpya kidato cha tano 2024 bado ni mkanganyiko lipi tamko la serikali juu ya hilo.
1. Kuna baadhi ya shule walishapewa semina juu ya utekelezaji wake lakini shule zingine bado.
2...
Habari wana JF mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2018 na nimepata ufaulu wa div 1points 4 Yaani:-
PHYSICS-A
CHEMISTRY-B
A/MATHS-A
Naomba mwenye ufahamu wa engineering course ambazo zko marketable...
Habari za Uzima Ndugu zangu.
Mimi ni Kijana wenu wa Usikivu Hafifu Nimekuja Tena.
Nataka Niende Nikasome Uwalimu wa Shule ya Msingi "Primary"
Nauliza Naweza Nikapata Mkopo !?
MUNGU AWABARIKI.
Salaam, naomba kuuliza kwa huyu mwanafunzi aliyemaliza form 6 na matokeo haya, History D Geography C Language S, hivi anaweza kuendelea kusomea chuo cha namna gani na kozi ipi itaendana na hayo...
Habari wanaJF mim ni mwanafunzi nahitaji kujiunga na diploma mwaka huu,
Ili nifanikishe ndoto zangu nahitaj mkopo wa diploma ili niendele na masomo yangu kwa ufanisi, maana nasikia mwaka Jana...
Utangulizi:
Habari wana JF! Leo ningependa kushiriki nanyi baadhi ya vidokezo muhimu kuhusu PMP (Project Management Professional) certification. PMP ni cheti kinachotolewa na PMI (Project...
Wakuu kwanza nitangulize shukrani.
Wakuu mimi ni mhitimu wa diploma in nursing and midwifery, mwaka jana ndo nimemaliza elimu yangu ya diploma mwakani nataka nikapige degree in nurse anasthesia...