Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

MFANO WA TASK NA SUBTASK ZAKE KWA WAKUU WA SHULE 1.Kusimamia taaluma na ufundishaji kwa asilimia 100. Subtasks. [emoji736]Kusimamia maandalizi ya lesson plan, scheme of work, logbook,n.k. Kwa...
1 Reactions
2 Replies
9K Views
Wakuu naomba kufahamu sababu zinazofanya chuo tajwa kuwa na ada Kubwa namna hiyo? Ada pekee kwa Masters program inatozwa 16 milioni.
4 Reactions
35 Replies
4K Views
Naomba msaada wa project proposal for lack of desks in school
0 Reactions
17 Replies
635 Views
Wakuu nahitaji kujifunza saikolojia ni wapi nianzie na vitabu gani nivisome?
0 Reactions
2 Replies
504 Views
Nimekuwa nikijiuliza kwanini shule hii ya mafunzo ya sheria kwa vitendo [LAW SCHOOL] iko Dar pekee yake? Kwanini haina Matawi maeneo mengine hapa nchini?
3 Reactions
15 Replies
677 Views
Hapa kuna njia 10 bora za matumizi bora ya smartphone kwa wananchi wa Tanzania: 1. Elimu: Kupata habari, makala, vitabu vya ki-electronic na programu za kujifunza zinaweza kusaidia katika...
0 Reactions
2 Replies
994 Views
Habari zenu wanaJF, Binafsi namshukuru sana mwenyezi Mungu kwa uhai na afya anayozidi nineemishia. Na nipende kuwapa pole wale wote wanaopitia maswaibu mbalimbali na kumuomba Mungu awapiganie...
18 Reactions
31 Replies
23K Views
Nahitaji kwenda kusoma NIT ili nipate cheti cha udereva halali ambacho kitakua na leseni ya C1, C2 na C3 Je ada yao pale ni Tshs ngapi, kozi inachukua muda gani mpaka kumaliza na kupata cheti na...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Habar Wana JF, Hv inawezekana kwa watu wenye diploma ya account and finance kusoma (CPA)? Na Kama inawezekan ni vigezo gan vnahitajika?? Na ni level gan ataanza nayo? Tuko hapa kujifunza naombeni...
1 Reactions
3 Replies
781 Views
habari wakuu naomba kufahamu wenye uzoefu na waliosoma open university course ya procument bachelor level au inayoendana na hio changamoto ipo wapi na ugumu upo wapi
2 Reactions
9 Replies
904 Views
Meona matokeo ya pharmaceutical technicians ya lessen kwa waliofanya mthian October hayaridhishi hata kidogo kati ya asilimia 100 walofaulu ni asilimia 15 tu..!!shida iko wap kwa baraza au...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Nataka kuuliza hv mwanafunzi anakosa sifa za kujiunga na kozi aliyochaguliwa na serikali chuo cha kati baada ya mda kias gan
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Habari comrades kichwa cha habari chajieleza .Mwenye nayo please [emoji120] atume humu
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Wataalam, Hivi hapa duniani kuna somo linafikia kwa ugumu au kupita kabisa sayansi ya anga ? Maana hii fani mimi binafsi naona ngumu hatari na gharama sana.
1 Reactions
5 Replies
651 Views
Oya washkaji nisaidieni niko form 6 namaliza mwakani niko tahasusi ya hgl lkn sijui chuo niende na cozi gani ukiachana na law, naombeni msaada wenu apo wa cozi zenye fursa nyingi
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Ndugu samahanini naomba kufahamishwa jinsi gani ya kuludia mtihani wa kidato Cha sita kwa mwaka huu 2023 kuhusu vituo hambavyo Ada zao huwa sikubwa kwa hapa daresalaam nahuwa shilingi ngapi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
English medium zimejikita sana kwenye kuridhisha wazazi kuliko kutoa elimu, ni bahati mbaya wazazi hawajagundua hili.. Na hizi shule zimejikita sana kwenye kuwafurahisha wazazi, walisha jua hapo...
7 Reactions
28 Replies
1K Views
Napenda kuipongeza tume kwa kufanya kazi nzuri ya kuhakikisha walimu wanapatiwa huduma kuendana na mahitaji ya kiteknolojia ya sasa. Jambo hili kwa kweli linatia moyo na limeisogeza huduma...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mradi wa hostel za wasichana katika shule ya sekondari Langiro umetelekezwa, mradi huu ulivyoanzishwa ni zaidi ya miaka 4 sasa haujakamilika hivyo kusababisha athari kubwa sana kwa watoto wa kike...
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…