Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) yakamata Kilogramu 2,327,983.66 za Dawa za Kulevya 2024, idadi ambayo haijawahi kufikiwa tangu kuanza kwa mapambano haya nchini. Dawa...
0 Reactions
9 Replies
186 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila amesema nchi 25 kutoka Afrika zinatarajia kuhudhuria katika mkutano wa kahawa utakao fanyika nchini Tanzania kuanzia kesho Februari 21 Hadi 22 wenye...
3 Reactions
7 Replies
406 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru kutolewa kwa amri ya Mwanasiasa Mkongwe, Dkt. Wibroad Slaa (76) kufikishwa mahakamani ifikapo Machi 4, mwaka huu ili uweze kutolewa uamuzi wa kesi hiyo...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa. Nimenote Mhe. Nape, akilaumiwa, kushutumiwa na kulaaniwa kwa kauli yake kuhusu chaguzi zetu na ushindi wa nje ya box. Huu...
37 Reactions
103 Replies
3K Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili jijini Budapest, Hungary kwa ziara ya kikazi ya siku nne (4) inayolenga kuimarisha...
0 Reactions
8 Replies
263 Views
Na katika uchaguzi mkuu wenyewe sasa, hujuma zitafanyika wazi wazi kabisa kwa wagombea uongozi wa chadema kama kulipa kisasi cha figisu na songombingo za kabokamchizi wakati wa uchaguzi wa ndani...
2 Reactions
51 Replies
835 Views
Kutokana na mapenzi ya mtu ikiwa wampendaye akihama chama,akifa au kushindwa uchaguzi chama kitatetereka kutokana na kusujudu mtu na si katiba,misingi na itikadi. Hii ni kwa vyama vya upinzani...
2 Reactions
6 Replies
166 Views
Kwanza kabisa natanguliza salamu, baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja Umuhimu wa kuchangia Chadema kwenye jambo hili ni huu hapa. 1. Kuwezesha uchaguzi wa huru na haki...
27 Reactions
106 Replies
2K Views
Wakuu, Hivi kulikuwa na haja ya watu kuitisha press kutuambia kuwa wamefikia asilimia 50 ya majukumu ya kazi yao? Kwanini wasingetupa majibu baada ya kupata majibu kamili...
1 Reactions
13 Replies
293 Views
"Nitoe wito kwa OCD Misungwi, nitoe wito kwa RPC Mwanza, nitoe wito kwa Waziri wa mambo ya ndani, na nitoe wito kwa anayefanya kazi ya kuteua hao wote, Amiri jeshi mkuu ambaye ni Rais wa Jamhuri...
2 Reactions
22 Replies
783 Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
Rais Samia ameahidi kujenga msikiti wa kisasa wenye hadhi ya Rais katika Kitongoji cha Migude, Kijiji cha Milo, Kata ya Vigwaza Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani. Hayo yamesemwa na Sheikh Mkuu wa...
1 Reactions
68 Replies
1K Views
Freeman Mbowe na Viongozi CHADEMA jiteteeni juu ya hoja hizi za kupotea kwa Ben Saanane Magufuli hawezi kuwa sio smart kiasi ulicho andika ni low IQ people ndio wataamini hiki ulichoandika
7 Reactions
57 Replies
3K Views
Mbunge wa Konde ( ACT Wazalendo) Mohamed Issa amelalamika bungeni Ajira za Wazanzibar kuchukuliwa na wageni Mohamed Issa amesema ni uonevu mkubwa Wazanzibar kuporwa Ajira Zao. Mlale Unono 😀😀 ---...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imetoa taarifa kwa Umma na wadau kwa ujumla kupitia vyombo vya habari kuwa,imegawanya eneo la Jiji katika kanda za kiutawala ili kurahisisha utoaji wa huduma...
2 Reactions
2 Replies
645 Views
Husika na kichwa Cha habari hapo juu, Utekelezaji wa mitaala mipya uendane na upitiaji upya wa mitaala masilahi ya walimu, mfano; 1. Mpaka miaka ya Sasa mwalimu wenye Masters hawatambuliki...
5 Reactions
10 Replies
902 Views
  • Redirect
Hii mbinu imetumiwana wafungwa wengi wakisiasa duniani. Kwa umri wake hana cha kupoteza,hakuna chakula ambacho hajawahi kula,agomee kula kwa siku tano tu Akianza kudhoofika watamuwachia bila...
0 Reactions
Replies
Views
Uchaguzi wa 2015 uliishia kwa baadhi ya nguli wa CCM kukatwa na hatimaye Shujaa Magufuli kukabidhiwa mikoba 2025 wale waliokatwa Ndio wameshika mpini sijajua Hali itakuwaje 🐼 Mungu Ibariki CCM...
0 Reactions
0 Replies
67 Views
Kuna raha sana kumuimbia kiongozi wa nchi yako hasa akiwa amekufanyia mambo makubwa. Watoto hawa wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Tanga wana haki ya kumuimbia Rais wetu Dkt. Samia Suluhu...
2 Reactions
4 Replies
131 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…