Wakuu,
Nilidhani mambo ya uchawa yako CCM tu, kumbe hadi CHADEMA machawa wamejaa kibao na leo kwenye huu mkutano wao ndo nimeweza kuwa
==============================================...
Wakuu,
Naona kuna nyuzi humu zilikuwa zinasema kuwa Mbowe ndio amepanga hili tukio la wanachama kumlazimisha kugombea Uenyekiti, leo Mbowe ameamua kuwajibu.
Mbowe amesema kuwa hayo maturubai na...
Wakuu,
Mdogo mdogo tuna swore allegiance na Bashite ili akiukwaa tusisumbuliwe kwenye mambo yetu!
===
Mtume Boniface Mwamposa wa Kanisa la Arise and shine (Inuka Uangaze),Mfuko wa Taifa wa...
Wakuu,
William Mungai mwenyekiti wa CHADEMA Iringa amempamba Mbowe na kukubujisha wahudhuriaki kwa machozi kuwa Mbowe ni role model kwa wengi.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Nitatoa...
Wakuu!
CHADEMA ndiyo msingi mmoja wapo kwamba wanasiasa wakiteseka huko kwenye vyama vyao waje kwao waenjoy siasa safi?
Ila hii game bado ni ngumu ngoja tuone nani atashinda!
==========...
Wakuu,
Akizungumza kwenye moja ya hoja zale kwanini Mbowe aendelee kuwepo, Mwenyekiti wa CHADEMA Iringa amesema kuwa ilikuwa ni kidogo tu Mbowe anyongwe iwapo ile kesi yake ya ugaidi...
Mambo yanazidi kunoga huko jamani.
BAWACHA Pwani wamesema watatoa Tsh. Milionin1.5 kumchangia Mbowe achukue fomu ya kugombea uenyekiti CHADEMA sababu wanaamini kwenye uwezo wake.
Pia soma...
Ni kama mwanachama mpya ndani ya CHADEMA, hajasindikizwa hata na kiongozi wa chama kutoka mkoani kwake, au hata wanachama wa kawaida.
Soma Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea...
Lissu aliwasilisha kwa Katibu Mkuu taarifa rasmi ya kuondoa kusudio la kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti tangu mwezi wa 8 lengo likiwa ni kuja kugombea uenyekiti.
Tarehe 10 Dec 2024 Mbowe na...
Tukiacha unafiki Tundu Lissu amebadilisha kabisa siasa za Tanzania
Joto la kisiasa lipo juu vyombo vyote vya habari mpaka gazeti la Uhuru habari ni Tundu lissu.
Sasa naona Tundu Lissu ndiye...
Unajua dhana ya Uchawa imejikita kwenye Ulimwengu wa roho ndio sababu utakuta kapuku mmoja wahed kabisa anamuendesha na kumpangia mambo ya kufanya kiongozi mkubwa
Uchawa umejikita kwenye nguvu za...
Wakuu,
Ila Muliro😂😂 hapa wameshindwa tu kumuita mchochezi na mzua taharuki, si ndio haya mapuuzo yalipekea mtu akafanyiwa assassination attempt? Hii statement imenishangaza kwakweli, leo ndio...
Mbali na mapungufu ya kibadamu, hawa wote wana uzalendo
Wote ni maradical
Wote ni wanachukia Rushwa
Wote wanachukia uzembe , uvivu
Wote wanamsimamamo mikali
Wote wanahulka ya kusema ukweli.
Wote...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara ambaye pia ni mtia nia wa nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ameeleza hayo alipofanya mahojiano maalum na Clouds FM kupitia kipindi cha...
Uchaguzi wa Chadema unatakiwa uwe fair kama jina la chama lilivyo,chama inahubiri demokrasia lakini Mbowe amekuwa mwenyekiti wa kudumu hata CCM sio hivo,chama imekuwa chama cha ukoo,kila mwenye...
Waziri wa Sheria na Katiba, Mh. Ndumbaro, amewapa za uso Chama cha Wanasheria Tanganyika kwamba kinatoa matamko ya kukurupuka tu.
===============
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro...
Kanda ya Pwani-Boniphace Jackob atasimamia shughuli ya kumshona Lissu bila ganzi.
Kanda ya Nyasa-Sugu, the bilionea, atamng'oa Lissu jino bila ganzi. Kwa kujipanga na wajumbe wake.
Kaskazini...
Huenda Kuna watu wanahisi kuwa Mwenyekiti wa chama pinzani chenye nguvu Afrika ni lelemama, la hasha ni vita hasa tena ni uhaini mkubwa kwa watawala Hawa ambao hawapendi kukosolewa.
Tundu Lissu...
Wananchi wa Mtaa wa Murieti, Kata ya Murieti, jijini Arusha wamefunga barabara ya kuelekea Intel kwa zaidi ya saa tatu siku ya Jumatatu Desemba 16, 2024, wakishinikiza serikali kutengeneza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.