Habari za ndani ya kambi ya Lissu ni kwamba ameandaa orodha ya watu ambao yeye anawaita chawa wa Mwenyekiti, na kwamba amejiapiza kuwafuta kazi pale makao makuu.
Tetesi zinasema sababu kubwa ni...
Wakuu,
Siku ya leo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atakuwa ananguruma wakati anazungumza na vyombo vya habari
Fuatilia uzi huu kujua nini kinaendelea kwenye mkutano huo.
Katika...
Ukimtizama tu usoni unamwona ni mtu ambaye hana akili au uelewa. Jamaa ameamua kuwa Chawa Pro Max. Huwezi ukawa mwana demokrasia ukazungumza haya na huku ulikuwa unapinga kusudio la waliokuwa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameweka wazi sababu za kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa na kutoa maoni yake kuhusu changamoto za...
Mwenyekiti Tume huru ya Taifa ya uchaguzi, Jaji Mbarouk S. Mbarouk amesisitiza kuwa ni kosa kisheria mtu mmoja kujiandikisha jina lake la kupiga kura zaidi ya mara moja kwani kufanya hivyo ni...
Wakuu,
Siku ya jana akiwa anazungumza kwenye mdahalo ulioandaliwa na Jamii Forums pamoja na Star TV, Wakili Boniface Mwabukusi amedokeza kuwa yuko mbioni kufungua kesi dhidi ya vyama 14 vya...
Mimi ni mmoja wa watu tusio amini kwenye uzushi wa mitandaoni. Lakini kwa hili nililosikia naona linahitaji ulitolee ufafanuzi wewe mwenyewe maana linaenda kukupoteza mazima katika siasa hadi...
Habari wanajamii.
Tangu Lissu atangaze Nia ya kugombea uenyekiti kumetokea kelele za kila aina. Mara ni kirusi ndani ya CHADEMA, mara anafadhiliwa na Msigwa, mara anampango wa kuhamia CCM nk...
Kuelekea kuanza kwa zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la mpiga kura Mkoani Iringa imeelezwa kuwa kuna vituo vipya vipatavyo 140 vimeongezwa.
Taarifa iliyotolewa leo Desemba 15, 2024 na...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu wakati akitangaza nia ya kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Taifa amesema CHADEMA haina budi kurudisha utaratibu wa ukomo wa Madaraka kwani utaondoa...
Harakati ndani ya Chadema zinachangamka siku hadi siku..
CCM wamepuuza siasa za majadiliano na maridhiano ndani ya CDM na nje ya CDM..
Sio ACT wala vyama vidogo kwamba vinapatiwa ahueni...
Wakuu,
Wananchi tuna amani, muda wote ni mwendo wa kububujikwa machozi ya furaha kwa nzuri anayofanya kipenzi chetu Mama Dokta (zitamke mara 9 sikumbuki namba yote) Kipenzi cha Wote Jemedari...
Kama unataka kuwa mwanasiasa maarufu Tanzania basi wewe onesha unapambana na CHADEMA.
Kuna wakati Mzee Wasira aliomba kura ndani ya CCM kwa hoja kwamba yeye ndiye mwenye uwezo wa kupambana na...
Kesho CHADEMA watafungua ofisi yao pale Kinondoni ambapo mgeni rasmi atakuwa mwenyekiti wa chama hicho na mtafuta hela wa chama hicho Freeman Mbowe.
Mbowe ametafuta platform hiyo ili amjibu...
Kila siku mnazungumza mnadanganywa, ni hivi mazungumzo katika mambo ya Kijamii upende usipende ni lazima, niwape mfano, leo Mashariki ya Kati, Israel wanapiga na Palestina na Hezbollah, Watu kwa...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini amesema Wanasiasa wa Upinzani wasilewe Sifa na umaarufu kwani huko nyuma walikuwepo akina Lyatonga Mrema Lakini walipoishia kila mtu anajua
Lema ameuliza...
Wakuu,
Sijaelewa hii, Steve anapewa heshima hivyo (japokuwa sijaelewa hii "Protocol kutoka Ikulu" inamaanisha nini) inamaa gani? Kwamba Steve ni nani mpaka anaongoza ujumbe toka Ikulu?
Wajuvi...
Inasemekana kuwa mbunge wa Simanjiro Mh. Christopher Ole Sendeka amepigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa Simanjiro.
Amekimbizwa hospitali katika juhudi za kupambania maisha yake.
Taarifa...
Akihutubia wananchi wa mkoa wa Kagera makala amesema chadema wameshindwa kabisa kujibu kiu ya Lissu ambapo Lissu amelalamikia rushwa na kukosekana demokrasia ndani ya CHADEMA lakini hawana mpango...
Lissu hapoi wala haboi, ameendelea kuipanga safu yake na jana usiku nyumbani kwake alikuwa na kikao kizito na wajumbe wa mkutano mkuu kutoka mikoa ya kanda ya ziwa ambao hawakutokea kwenye press...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.